LONDON, UingerezaSHIRIKISHO la Soka la Ulaya (UEFA) limeshatangaza ratiba ya fainali zijazo za Mataifa ya Ulaya, maarufu kwa jina la 'Euro 2028'.Ratiba inaonesha kuwa...
CATALUNYA, HispaniaMATAJIRI wa klabu ya Barcelona wanaangalia uwezekano wa kuinasa huduma ya mpachikaji mabao wa Bayern Munich, Harry Kane.Mpango wa kumsajili Muingereza huyo umelenga...
RIO, BrazilSTAA wa zamani wa Chelsea, Oscar, huenda akatangaza kutundika daluga kutokana na ushauri wa mkewe na familia.Oscar mwenye umri wa miaka 34, kwa...
LONDON, UingerezaIMERIPOTIWA kuwa kuna mazungumzo yanayoendelea vizuri kati ya kambi za mabondia Anthony Joshua na Jake Paul.Taarifa zinasema wawili hao watarushiana makonde katika pambano...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa upande wa Wanawake, JKT Queens, wamelazimishwa sare ya bao 1-0...
JOHANNESBURG, Afrika Kusini
RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, amemkosoa mwenzake wa Marekani, Donald Trump, kwa hatua yake ya kugoma kuhudhuria Mkutano Mkuu wa G20...
KYIV, Ukraine
MAWAZIRI wawili wa Serikali ya Ukraine wametangaza kujiuzulu baada ya kashfa ya rushwa kuitikisa sekta ya nishati nchini humo. Waliotangaza kuachia ngazi ni...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
NI Simba ya kocha Dimitar Pantev dhidi ya Petro Atletico katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi unaotarajiwa kuchezwa Novemba...
Na mwandishi wetu, GazetiniUHUSIANO wa Marekani na Afrika Kusini umezidi kudorora kwa siku za hivi karibuni na tayari Rais Donald Trump ametaka nchi hiyo...
MADRID, HispaniaALIWAHI kutabiriwa kuwa staa mpya wa soka la Brazil, akitajwa kufuata nyayo za mastaa wengi waliwahi kupiga katika ardhi ya nchi hiyo, wakiwamo...