*Wapewa darasa teknolojia mpya uchimbaji madini
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
MAONESHO ya Teknolojia ya Madini yamezidi kuwa darasa kwa wadau mbalimbali baada ya wageni kutoka Wizara...
Na Faraja Masinde, Gazetini
NI Hifadhi iliyotawaliwa na ukimya mkubwa. Kelele zake utazisikia kupitia ndege tu wanaoruka kutoka tawi moja kwenda jingine wakijitafutia chakula chao...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Kulingana na machapisho mbalimbali, Bundi ni miongoni mwa ndege ambae huishi kutegemea nyama kama chakula chake kikuu.
Bundi hutafuta mawindo yake nyakati...
*Serikali yasisitiza wananchi kuwa na subira
Na Faraja Masinde, Muheza
“…tuliumia sana, tukawaachia tu wakaruka na kwenda zao. Tukasema hatuna cha kufanya… na wakati huo ndiyo...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Takwimu kutoka Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje mkoani Songwe zinaonyesha kuwa katika kipindi cha mwaka mmoja wa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
TANZANIA ni miongoni mwa nchi zenye fursa nyingi za uwekezaji katika Ukanda huu wa Afrika Mashariki, sambamba na hilo kwa siku...
*Wadau wasema utafiti wa kina unahitajika ili kupata suluhu
Na Jackline Jerome, Gazetini
Vijiji 25 wilayani Same mkoani Kilimanjaro Kaskazini mwa Tanzania yamegauka kuwa maskani ya...
Na Immaculate Makilika – MAELEZO
Takwimu zinaeleza kuwa miji inakadiriwa kuzalisha asilimia 80 ya ukuaji wote wa uchumi. Hivyo hakuna shaka kuwa Mji wa Serikali nchini Tanzania ambao...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Katika kuhakikisha kuwa matumizi ya dawa za kulevya nchini yanadhibitiwa, jamii imeaswa kuelimisha watoto na vijana juu ya athari zitokanazo na...
Kulingana na matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi iliyofanyika Oktoba 23, 2022 yanaonyesha kwamba idadi ya Watanzania wanaoishi maeneo ya Vijijini ni karibu...