Na Ramadhan Hassan, Dodoma
KAMATI ya Kitaifa ya Shindano la Vijana Uchumi Challenge imetangaza rasmi majina ya vijana 100 bora waliofanikiwa kuingia hatua inayofuata ya...
NEW YORK, Marekani
KUNA uhitaji mkubwa wa asali nchini Marekani baada ya kiwango cha uzalishaji kushika kwa kiwango kikubwa zaidi kuwahi kutokea, kwa mujibu wa...
NAIROBI, Kenya
MUONGO mmoja uliopita, Jumuhiya ya Afrika Mashariki (EAC), ilikiri kuwapo kwa utitiri wa nguo za mitumba na kutangaza mkakati wa kuweka mazingira magumu...
Na mwandishi wetu, Gazetini
TAKRIBANI nusu ya mabilionea wenye umri mdogo duniani (chini ya miaka 30) walipata utajiri huo kupitia biashara walizorithi kutoka katika familia...
NEW YORK, Marekani
BENKI ya Dunia (WB) imeeleza kuwa vita vya Iran vimezifanya nchi nyingi za Afrika kukopa fedha ili kukabiliana na dharura ya kiuchumi.
Vita...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jumatatu, Mei 18, 2026 limepitisha Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa Mwaka...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MWENYEKITI na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dk. Samia...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
MOJA ya hatua kubwa zilizopigwa na Shirika la Reli nchini (TRC) ni kuondokana na utegemezi kwa Serikali, ambapo katika Mwaka wa...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
KASI kubwa ya maendeleo imeshuhudiwa katika bandari za mwambao wa Bahari ya Hindi na Maziwa Makuu, ikiwamo uboreshaji wa miundombinu unaochagiza...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
KWA mujibu wa Serikali hadi Aprili 2026 jumla ya nyumba 2,512 zimeunganishwa na huduma ya gesi asilia katika mikoa ya Mtwara,...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limezindua rasmi zoezi la ulipaji fidia kwa wananchi wanaopisha utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa njia...