Ads: info@gazetini.co.tz |
25.2 C
Dar es Salaam

Uchumi

Samia aisifu TPA kwa kujitegemea, yakabidhi gawio la Sh bilioni 205.53

Na mwandishi wetu, Gazetini Rais Samia Suluhu Hassan ameisifu Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kufikia kiwango cha kujitegemea kifedha, akisema taasisi hiyo...

Nigeria ilivyopuuzia onyo la IMF kuhusu madeni

LAGOS, Nigeria LICHA ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kuipa onyo, Serikali ya Nigeria imepiga hatua moja mbele katika mpango wake wa kukopa kiasi...

Aisha Mohamed: Kutoka Mhasibu hadi kuiongoza GSM Group

Na Mwandishi Wetu, Gazetini KUNA msemo unaosema, "Viongozi wakubwa hawazaliwi, hujengwa." Katika ulimwengu wa biashara, kauli hiyo inajidhihirisha kupitia watu wanaoanza katika nafasi za kawaida,...

Mfumo wa E-Delivery kutathmini matokeo ya miradi utekelezaji wa Dira 2050

Na mwanishi wetu, Gazetini KATIKA utekelezaji wa Dira 2050, Mfumo mpya wa Kitaifa wa kusimamia Mipango na Miradi ya Maendeleo wa e-Delivery wa Tume ya...

Africa’s Premier Agricultural Stage Returns — Bigger, Bolder, and More Connected Than Ever

The 10th Africa Agri Expo, co-located with the 3rd Future Food Livestock & Poultry Expo — 2nd & 3rd September 2026, Dar-es-Salaam, Tanzania. After nine...

RFB: Tozo za mafuta ndizo mhimili wa matengenezo ya barabara nchini

Na mwandishi wetu, Gazetini MFUKO wa Barabara (RFB) umesema tozo zinazotozwa kwenye mafuta ya petroli na dizeli ndizo chanzo kikuu cha fedha zinazowezesha matengenezo ya...

Utajiri wa Musk unatosha kila mtu duniani kupewa 300,000/-

LOS ANGELES, Marekani ACHANA na milionea. Sahau pia kuhusu bilionea. Mfanyabiashara maarufu wa Marekani, Elon Musk, amekuwa trilionea kwa kwanza hapa duniani. Musk amefikia hadhi hiyo...

‘Maisha ya Nigeria magumu kuliko Marekani’

LAGOS, Nigeria HIYO ni kauli ya staa wa soko la muziki wa Nigeria, Daniel Benson, maarufu kwa jina la BNXN, baada ya kuwasili akitokea Los...

Waziri wa Fedha: Zaidi ya asilimia 70 ya bajeti itatekelezwa kwa mapato ya ndani

Na Ramadhan Hassan, Gazetini-Dodoma WAZIRI wa Fedha, Khamis Mussa Omar, amesema Serikali itaendelea kutegemea mapato ya ndani kama chanzo kikuu cha kugharamia matumizi ya kawaida...

Uhamiaji wa kazi waibua fursa, hofu kwa wafanyakazi

Na Mwandishi Wetu,Gazetini WAKATI maelfu ya vijana wa Kitanzania wakiendelea kuingia katika soko la ajira kila mwaka huku nafasi rasmi za ajira zikibaki finyu, wataalamu...

Siku 100 tangu vita vya Marekani, Iran vilipoanza

WASHINGTON DC, Marekani JUNI 7, 2026) zilitimia siku 100 tangu Marekani kwa kushirikiana na Israel zilipoanzisha mashambulizi dhidi ya Iran, vita vilivyosababisa kupanda kwa bei...

Ripoti: Kiwango cha umasikini kimeongezeka Ujerumani

MUNICH, Ujerumani KIWANGO cha umasikini nchini Ujerumani kimeongezeka kwa kasi, ikilinganishwa na takwimu za mwaka 2020, kwa mujibu wa utafiti wa Taasisi ya Parity Welfare...

Recent articles