NEW YORK, MarekaniSTAA wa muziki wa Hip hop, Sean Combs 'P. Diddy', amekwaa kisiki katika kesi zinazomkabili baada ya juzi kunyimwa dhamana.P. Diddy anasota...
LOS ANGELES, MarekaniSTAA wa muziki wa Pop, Selena Gomez, amemtaja Eminem kuwa ndiye rapa aliyekuwa akivutiwa naye alipokuwa mdogo.Selena (32), ameyasema hayo hivi karibuni...
Na Mwandishi Wetu
Msanii Harmonize leo Mei 19,2025 amefika Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) na kufanya mazungumzo na Katibu Mtendaji wa Basata, Dk. Kedmon Mapana, kuhusu maendeleo...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Staa wa Bongo Fleva kutoka Bunduki Music, Dj Davizo, amewashtua mashabiki punde baada ya kuachia wimbo wenye vionjo vya gospo, Prayer.
Davizo,...
Na Mwandishi Wetu
Baada ya kutoka ofisi za Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), msanii wa Bongo Fleva, Ibrahim Abdallah 'Ibraah', amesema ishu yake Konde...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Serikali imesema kuwa ipo tayari kushirikiana na waandaaji wa Tuzo za Muziki wa Injili Afrika Mashariki 'East Africa Gospel Awards',(EAGMA) ili...