Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amelitaka Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala nchini kujikita katika tafiti za dawa za tiba asili na mbadala na kuzitumia tafiti hizo ili zilete mchango kwenye sekta...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewataka viongozi kote nchini kuweka maslahi ya wananchi mbele na kuacha migogoro inayotokana na ubinafsi wao.
“Hawa Watanzania hawataki migogoro yetu sisi viongozi na...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, Rais mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, amehitimisha...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Imeelezwa kuwa urejelezwaji wa betri chakavu bila kuzingatia miongozo ya kimazingira ni chanzo kikubwa cha uchafuzi wa mazingira na huweza kusababisha...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Mabadiliko ya tabianchi ni changamoto inayoendelea kuathiri maisha ya watu duniani kote, hasa watoto ambao ni miongoni mwa makundi yaliyo hatarini...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) imewakutanisha wadau wa taasisi zinazofanya tafiti kuhusu VVU na UKIMWI nchini kujadili matokeo ya tafiti...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Wataalamu wa afya ya kinywa na meno kutoka nchi za Afrika Mashariki wameaswa kuacha matumizi ya dawa za kuziba meno zenye...
Na Absalom Kibanda, Rio de Janeiro-Brazil
RAIS Samia Suluhu Hassan ameyataka mataifa tajiri duniani ya kundi la G20 kutafakari upya namna bora ya kukabiliana...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imeitaka Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) kuongeza juhudi katika...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kuhimiza hatua za kuondoa madini ya risasi kwenye rangi, likisisitiza madhara makubwa ya kemikali hiyo...
*Wananchi wakubali yaishe
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania (DCEA), ikishirikiana na Vyombo vya Ulinzi na Usalama, ikiwa...
Na Mwandishi Wetu, GazetiniMamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) na Tume ya Taifa ya Kudhibiti UKIMWI (TACAIDS), Septemba 23, 2024, wamesaini...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Serikali kupitia Mamlaka ya Maji Kibondo imetenga zaidi ya shilingi bilioni 1.49 katika mwaka wa fedha 2022/23 kwa ajili ya ujenzi...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Kituo cha Kudhibiti Magonjwa Afrika (Africa CDC) kimeeleza wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa visa vya ugonjwa wa Mpox barani Afrika. Katika mkutano...