Ads: info@gazetini.co.tz |
29.2 C
Dar es Salaam

AFYA

Visual| Kituo cha Maarifa Manyoni kinavyosaidia mapambano ya VVU

*Kamati ya Bunge ya Afya na UKIMWI yapongeza Na Nadhifa Omar, Singida Kituo cha Maarifa cha Manyoni mkoani Singida kimechangia katika mikakati ya Taifa ya utoaji...

Wananchi Geita wachangamkia uchunguzi wa saratani bure

*Wanawake wapewa neno Na Mwandishi Wetu, Gazetini MAONESHO ya Sita ya Teknolojia ya Madini Geita yameendelea kuwanufaisha wakazi wa Geita na viunga vyake baada ya wananchi...

Wafanyakazi GGML wajitokeza kuchunguzwa saratani

*Madaktari watoa ujumbe kwa jamii Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) Ijumaa Septemba 22, 2023 wamejitokeza katika maonesho ya...

GGML yatoa msaada wa vifaa tiba kuboresha afya Geita

Na Mwandishi Wetu, Gazetini KATIKA jitihada za kuendelea kuboresha sekta ya afya mkoani Geita, Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetoa msaada wa vifaa...

Luhemeja awataka Madiwani kuwa Mabalozi wa Usalama na Afya

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Katibu Mkuu - Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhandisi, Cyprian Luhemeja amewataka madiwani wa Mkoa wa...

Makala| Wananchi wanavyoteswa na Watendaji wadanganyifu

Na Faraja Masinde, Gazetini MACHI, 2022, Zahanati ya Ihumwa mjini Dodoma, iliweka wazi changamoto ya uhaba wa magodoro katika wodi ya wazazi. Unaizungumzia zahanati iliyoko...

Serikali yaahidi kuunga mkono kampeni GGML KiliChallenge

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAZIRI wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama amesema Serikali itaendelea kuunga mkono kampeni ya GGML...

Dk. Kikwete kuwaaga wapanda mlima 61 Kampeni ya GGML KiliChallenge-2023

Na Mwandishi Wetu, Gazetini RAIS mstaafu Dk. Jakaya Kikwete kesho Ijumaa Julai 14, 2023 anatarajiwa kuwaaga jumla ya washiriki 61 watakaopanda mlima Kilimanjaro kupitia kampeni...

Makala| Sababu wanaume kukwepa chanjo ya Uviko-19

Na Faraja Masinde, Gazetini TAFITI mbalimbali za afya zimethitisha kuwa chanjo huzuia takribani vifo milioni mbili hadi tatu kila mwaka kutokana na maradhi yanayozuilika kwa...

Infographic| Maambukizi mapya ya VVU bado ni mtego kwa vijana

*TACAIDS yasema mapambano bado hayajaisha *Nyenzo ya Kondomu yasisitizwa Na Mwandishi Wetu, Gazetini Maambukizi mapya ya Virusi Vya UKIMWI ni kama bado yameendelea kuwa mtego kwa...

Chart| Hali ya ukosefu wa chanjo kwa watoto Kusini na Mashariki mwa Afrika

Na Hassan Daudi, Gazetini Ripoti ya Mwaka ya Hali ya Watoto Duniani iliyotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) inayofahamika kama "State...

Kuzuia Kisukari na Shinikizo la Damu; Mwanzo ni kujitambua

Na Tulinagwe Malopa, Gazetini Kisukari na shinikizo la damu ni magonjwa yanayoathiri mamilioni ya watu Tanzania na duniani kote. Hata hivyo, wengi wetu hatujui kuhusu...

Recent articles