Na mwandishi wetu, Gazetini
MIAKA ya hivi karibuni imeshuhudia migogoro mingi ya wanamuziki wa Bongo Fleva na mabosi wa lebo zao.
Mfano wa hivi karibuni ni hiki kinachoendelea sasa kati ya msanii Mac Voice na lebo ya Next...
Na mwandishi wetu, Gazetini
NI rahisi kuona watu wakikuwekea chuki na wivu kwa vile tu umefanikiwa, bila kujua umepitia shida nyingi kufika hapo ulipo. Wanachukulia poa tu!
Akiwa hana baba, pesa wala tumaini, hakuna aliyejua kama leo hii...
NEW YORK, Marekani
RAIS wa Venezuela, Nicolás Maduro, aliyekamatwa katika operesheni ya kijeshi ya Marekani, amefikishwa katika mahakama ya Manhattan, New York, ambako leo Jumatatu...
PARIS, Ufaransa
Mahakama ya Paris imewatia hatiani watu kumi kwa tuhuma za unyanyasaji wa mtandaoni dhidi ya mke wa Rais wa Ufaransa, Brigitte Macron, baada...
Na Imani Nathaniel, Gazetini
MKURUGENZI Mashitaka nchini (DPP), amewafutia kesi washtakiwa wawili kati ya sita waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya kuua bila kukusudia.
Waliofutiwa mashtaka na...
Na Imani Nathaniel, Gazetini
SHAURI la kuporomoka kwa ghorofa la Kariakoo limekwama kusomewa maelezo ya mashahidi na vielelezo kwa washitakiwa wa kesi ya mauaji bila...
SUCRE, Bolivia
MWEZI mmoja tu baada ya kutoka madarakani, polisi nchini Bolivia wamemtia nguvuni Rais mstaafu, Luis Arce, ili kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za rushwa.
Luis...
SEOUL, Korea ya Kusini
WAENDESHA mashitaka wa Korea Kusini wameiomba Mahakama imuhukumu kifungo cha miaka 15 gerezani aliyekuwa mke wa Rais wa zamani, Yoon Suk...
Na Mwandishi Wetu, Gezetini
Watuhumiwa 20 kati ya 22 waliokuwa wanashtakiwa kwa makosa ya uhaini wameachiwa huru, huku mfanyabiashara wa vipodozi Jenifer Jovin (26) maarufu...
Na Mwandishi Wetu
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilemela imewaachia huru watuhumiwa 57 kati 61 wa kesi ya uhaini waliokuwa wakishikiliwa kufuatia maandamano na matukio ya...
Na Mwandishi Wetu
Mahakama ya Wilaya ya Kisarawe, mkoani Pwani, imemhukumu Said Nawanje (20) mkazi wa Yombo Lukinga, wilayani humo, kifungo cha miaka 30 jela...
Na Mwandishi Wetu
Mahakama ya Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam imemhukumu Faridi Mohamedi maarufu Sungusungu kifungo cha miaka 60 jela, kuchapwa viboko sita...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Mahakama ya Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, Agosti 18, 2025 imetoa hukumu ya kifungo cha miaka 20 jela kwa mtuhumiwa Idd...