Ads: info@gazetini.co.tz |
22.8 C
Dar es Salaam

Jamii

Enyi Watanganyika, ni nani aliyewaroga?

Na Hassan Mwasha, Gazetini KELELE za kukera, kama si za kuchefu kabisa, zinakita kwenye ngoma za masikio yangu. Kelele zinazojirudia, zinazochefua na kunipa picha ya...

Kwa nini kwa wengine Krismas ni Januari 7?

Na mwandishi wetu, Gazetini KILA ifikapo Desemba ya kila mwaka, maandalizi na shamrashamra za Sikukuu ya Krismas huonekana wazi katika maeneo mengi duniani. Tofauti na miezi...

Lugha zinazozungumzwa zaidi duniani

Na mwandishi wetu, Gazetini KIINGEREZA kimeendelea kuwa lugha yenye ushawishi mkubwa duniani, ikitajwa kuwa ndiyo iliyokuwa na wazungumzaji wengi zaidi kwa mwaka 2025. Ni kwa mujibu...

Ndoa za utotoni Tanzania; hali halisi, athari na njia za kutokomeza

Na mwandishi wetu, Gazetini NDOA za utotoni, zinazofafanuliwa kama ndoa inayohusisha mmoja au wote wawili walio chini ya umri wa miaka 18, bado ni tatizo...

Watu 10 wahukumiwa Paris kwa kumdhalilisha mke wa rais

PARIS, Ufaransa Mahakama ya Paris imewatia hatiani watu kumi kwa tuhuma za unyanyasaji wa mtandaoni dhidi ya mke wa Rais wa Ufaransa, Brigitte Macron, baada...

Usiyoyajua kuhusu mimba zisizotarajiwa

Na mwandishi wetu, Gazetini MIMBA zisizotarajiwa ni janga linalopuuzwa, licha ya ukubwa wake duniani kote, kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi...

Tembo aliyekuwa balozi wa bia afariki

MOMBASA, Kenya TEMBO maarufu nchini Kenya amefariki akiwa na umri wa miaka 54, akikumbukwa kwa heshima aliyokuwa nayo ya ubalozi wa kampuni ya bia ya...

Tetemeko la ardhi laua watu wawili Mexico

MEXICO CITY, Mexico WATU wawili wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na tetemeko la ardhi lililotokea Kusini mwa Mexico jana Januari 2, 2026. Kwa mujibu wa kile kikichoelezwa...

OWM yakabidhi msaada kwa waathirika wa mafuriko Kilosa

KILOSA, Morogoro OFISI ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) kupitia Idara ya Menejimenti ya Maafa, leo Januari 2, 2026, imekabidhi vifaa mbalimbali...

Viongozi wa dini watakiwa kutumia lugha nzuri wanapohubiri

Na Imani Nathaniel, Gazetini VIONGOZI wa dini wametakiwa kutumia lugha njema wanapohubiri ili kuimarisha umoja wa kitaifa na kuzuia migawanyiko inayoweza kusababisha machafuko miongoni mwa...

WHO: Unywaji wa pombe unaua zaidi ya watu 800,000 kila mwaka Barani Ulaya

Na mwandishi wetu, Gazetini UNYWAJI wa pombe unasababisha vifo vya zaidi ya watu 800,000 kila mwaka barani Ulaya, sawa na kifo kimoja kati ya kila...

HaloPesa yawagusa watoto yatima msimu wa sikukuu

Na Iman Nathaniel, Gazetini KAMPUNI ya Halotel kupitia kitengo cha HaloPesa imefanya ziara katika kituo cha watoto yatima cha Maunga Orphanage Centre, kilichopo Kinondoni, Jijini...

Recent articles