Ads: info@gazetini.co.tz |
22.8 C
Dar es Salaam

Jamii

UAE yachangia chakula Sudan

DUBAI, UAE UMOJA wa Falme za Kiarabu (UAE) umechangia kiasi cha Dola za Marekani milioni 20 kwa ajili ya chakula nchini Sudan, ambako vita vya...

Wacharazwa viboko 140 kwa uzinzi, ulevi

JAKARTA, Indonesia WATU wawili wa jinsia tofauti wamecharazwa jumla ya viboko 140 kwa makosa makubwa mawili ya uzinzi na ulevi wa pombe. Ifahamike kuwa vitendo hivyo...

Adamu, kaka yake jela kwa wizi msikitini

ABUJA, Nigeria MAHAKAMA ya Wilaya ya Wuse mjini Abuja imewahukumu ndugu wawili kifungo cha miezi minne gerezani kila mmoja baada ya kukutwa na hatia katika...

Mwangwi wa sheria| Polisi haihusiki na kesi hizi-2

WAKATI mwingine, kutokujua sehemu sahihi ya kupeleka malalamiko yako kunaweza kukupotezea muda, nguvu, na hata haki yako. Mathalan, kwenda polisi kwa suala la madai ni...

Visual| Gen Z wafikia bilioni 1.9, Gen A waongoza duniani

Na mwandishi wetu, Gazetini KWA mujibu wa takwimu za Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu duniani, kwa sasa idadi ya vijana waliozaliwa...

Nicola Peltz; Mkwe anayeivuruga familia ya Beckham

LOS ANGELES, Marekani Kwa sasa, mtoto wa kiume wa Beckham, Brooklyn, haongei na baba wala mama yake. Kama hiyo haitoshi, alishahama nyumbani kwao na kujiweka...

Mwangwi wa sheria| Polisi haihusiki na kesi hizi

Na mwandishi wetu, Gazetini WAKATI mwingine, kutokujua sehemu sahihi ya kupeleka malalamiko yako kunaweza kukupotezea muda, nguvu, na hata haki yako. Mathalan, kwenda polisi kwa suala...

Polisi wachunguza kilichomuua Destiny Boy

LAGOS, Nigeria POLISI wanamshikilia mtu mmoja, huku wakiendelea na uchunguzi juu ya kifo cha mwanamuzi wa Nigeria, Destiny Boy. Destiny Boy, ambaye jina lake halisi ni...

China yateswa idadi ndogo ya watoto

BEIJING, China IDADI ya watoto waliozaliwa mwaka 2025 nchini China ni ndogo zaidi kuwahi kutokea katika Taifa hilo la Asia.Ni kwa mwaka wa nne mfululizo...

Bunge laisisitiza Serikali kuwalinda wafanyakazi sekta isiyo rasmi

Na mwandishi wetu, Gazetini KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeitaka Serikali kupitia Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa...

IWPG signs coperation agreement with Colombia’s Conflict Victims Association

By Our Correspondent The International Women’s Peace Group (IWPG), Global Region 2, led by Global Director Seo Yeon Lee, has signed a Memorandum of Understanding...

Aliyezaliwa juu ya mti afariki

MAPUTO, Msumbiji JINA lake ni Rosita Salvador Mabuiango lakini wengi nchini Msumbiji wanamwita 'Mtoto wa Muujiza' kutokana na alivyozaliwa wakati mama yake akiwa juu ya...

Recent articles