*Asisitiza umuhimu wa elimu ya usalama mahala pa kazi
*Aipongeza OSHA kuboresha utendaji, ahimiza uhifadhi wa mazingira
Na Mwandishi Wetu, Arusha
Naibu Waziri Mkuu na...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Tanzania ni kati ya nchi chache barani Afrika ambazo zinafanya vema katika kupambana na janga la UKIMWI ambapo Takwimu zinaonyesha kuwa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
MATUKIO ya wanahabari kunyimwa taarifa kwenye vyanzo vya habari yameripotiwa kuwa mengi zaidi ukilinganisha na yale ya vitisho, kukamatwa, kupigwa, kufungiwa,...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki ametangaza rasmi matokeo ya sensa ya wanyamapori katika mifumo mitatu ya ikolojia ya Nyerere-Selous-Mikumi, Saadani-Wamimbiki...
Na Catherine Sungura-TARURA
Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeendelea kuboresha huduma za usafiri na usafirishaji kwa kujenga barabara, vivuko na madaraja katika...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Takwimu za Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA)zinaonyesha kuwa kumekuwa na ongezeko la matukio ya wanyamapori kuingia kwenye makazi ya watu...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Pamoja na jitihada za Serikali za kukabiliana na tatizo la upungufu wa miundombinu ya elimu katika shule ikiwamo kujenga majengo mapya...
Na Ramadhan Hassan, Gazetini-Dodoma
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) hadi sasa imefanikiwa kusajili...
Na Nora Damian, Gazetini
Zaidi ya watu 50 wamefariki dunia kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha ambazo zimesababisha mafuriko katika maeneo mbalimbali nchini.
Vifo 28 zimeripotiwa kutokea...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Mwanza
Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kwa kushirikiana na Taasisi ya Wezesha Binti na Mama Mjasiriamali (WBM) linatarajia kupanda miti 6,000 ndani...