Na Mwandishi Wetu
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hillary, amefariki dunia alfajiri ya leo Mei 11, 2025.
Marehemu Hillary ambaye amefanya kazi ya utangazaji...
Na Malima Lubasha, Gazetini-Serengeti
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, amewataka wananchi kushirikiana kwa karibu na wahifadhi katika kulinda, kutunza na kuhifadhi maeneo yaliyotangazwa kama urithi wa dunia, yakiwemo Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, kwa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Katika juhudi za kuhakikisha Tanzania inakuwa salama dhidi ya athari za dawa za kulevya, Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Mabadiliko ya tabianchi ni changamoto inayoendelea kuathiri maisha ya watu duniani kote, hasa watoto ambao ni miongoni mwa makundi yaliyo hatarini...
Na Mwandishi Maalum-Gazetini
Tume ya Madini imetoa tathmini ya mafanikio yaliyopatikana katika Sekta ya Madini tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani. Mafanikio hayo yanajumuisha...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Uchunguzi uliofanywa na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) umebaini kuwa wanawake ndiyo wateja wakubwa wa dawa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kuhimiza hatua za kuondoa madini ya risasi kwenye rangi, likisisitiza madhara makubwa ya kemikali hiyo...
*Wananchi wakubali yaishe
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania (DCEA), ikishirikiana na Vyombo vya Ulinzi na Usalama, ikiwa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI (Afya), Dk. Festo Dugange amekishauri Kituo cha Taifa cha Ufuatiliaji na Usimamizi wa Biashara ya...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Tanzania ina furaha kubwa kwa kiwango chake cha gesi asilia, ambacho kinahakikisha upatikanaji wa nishati ya kutosha kwa ajili ya maendeleo...
Na Faraja Masinde, Gazetini
Pamoja na jitihada kubwa zinazofanywa na Serikali ya Tanzania katika kukabiliana na biashara haramu ya viumbe pori, bado kuna umuhimu mkubwa...
Na Grace Mwakalinga, Gazetini
KATI ya mikoa 28 iliyopo nchini, mikoa mitano ndio yenye vituo vinavyotoa huduma ya utengamo wa afya ya akili ikiwemo Dodoma...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Dorothy Gwajima, ametangaza mafanikio makubwa katika sekta ya ustawi wa...