Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira),Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, amesema katika kuimarisha sekta ya hifadhi na...
Na Ramadhan Hassan, Gazetni-Dodoma
SERIKALI imewasilisha mbele ya Bunge vipaumbele vitano vya Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH) kwa mwaka wa fedha 2025/26, ambavyo vinakusudia...
*Asema serikali zote mbili zimedhamiria kufanya mageuzi sekta ya michezo
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango...
Na Mwandhishi Wetu, Gazetini
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi ametembelea nyumbani kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere,...
Na Mwandishi wetu
Serikali imewasilisha mbele ya Bunge vipaumbele vitano vya Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH) kwa mwaka wa fedha 2025/26 vinavyolenga kuongeza ufanisi...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, amesema amesema kuwa mwaka huu Serikali inatarajia kujenga mradi mkubwa wa...
*Tani 14 kemikali bashirifu zazuiwa kuingia nchini
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na vyombo mbalimbali vya...
Na Mwandishi wetu, Gazetini
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inaendelea na mpango wa kuyaendeleza mabonde nchini kwa kuyatumia kutoa huduma za kijamii ikiwemo...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, Rais mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, amehitimisha...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Bodi ya Uwekezaji na Fedha ya Watumishi Housing Investment (WHI) imefanya ziara ya kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa nyumba...
Na Ramadhan Hassan, Gazetini-Dodoma
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, amesema kuwa uhamisho ni haki...