MUNICH, Ujerumani
RIPOTI zinaeleza kuwa straika wa kimataifa wa England, Harry Kane, amekubali kuongeza mkataba utakaombakiza katika klabu ya Bayern Munich hadi mwaka 2029.
Awali, ilielezwa kuwa pande mbili hizo ziko mezani na sasa kituo cha televisheni cha...
LOS ANGELES, Marekani
MMOJA ya washitakiwa wanne wa mauaji ya Pop Smoke amemuomba radhi mama mzazi wa staa huyo wa muziki wa Hip hop nchini Marekani.
Blockstar aliyetajwa kuhusika katika tukio la kumpiga risasi Pop Smoke mwaka 2020,...