Ads: info@gazetini.co.tz |
26.2 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Kuelekea Kombe la Dunia 2026: Ureno (32)

PORTO, UrenoKWA mujibu wake, fainali za Kombe la Dunia za mwakani zitakuwa za mwisho kwake, kisha atatundika daluga. Huyo ni Cristiano Ronaldo.Ureno inakwenda kwenye...

Kuelekea Kombe la Dunia 2026: Norway (31)

OSLO, NorwayKWA mara ya kwanza katika historia ya Kombe la Dunia, mashabiki wa soka watamshuhudia straika wa viwango, Erling Haaland, akicheza michuano hiyo.Norway imefuzu...

Kuelekea Kombe la Dunia 2026: Ujerumani (30)

MUNICH, UjerumaniIKIWA nafasi ya tisa katika viwango vya ubora wa soka duniani, Ujerumani ni sehemu ya mataifa 48 yatakayoshiriki fainali zijazo za Kombe la...

Kuelekea Kombe la Dunia 2026: Ufaransa (29)

PARIS, UfaransaMAARUFU pia kwa jina la 'Les Blues', timu ya soka ya taifa ya Ufaransa itashiriki kwa mara ya 17 fainali za Kombe la...

Kuelekea Kombe la Dunia 2026: England (28)

LONDON, UingerezaTIMU ya taifa ya England 'Three Lions' ni mabingwa wa fainali za Kombe la Dunia za mwaka 1966. Wanashika nafasi ya nne kwa...

Kuelekea Kombe la Dunia 2026: Croatia (27)

ZAGREB, CroatiaNAFASI ya 10 kwenye viwango vya ubora wa soka duniani. Croatia wamepromoka kwa nafasi saba, tofauti na nafasi ya tatu waliyokuwa mwaka 1998.Licha...

Kuelekea Kombe la Dunia 2026: Ubelgiji (26)

BRUSSELS, UbelgijiLICHA ya kutokuwa na taji kubwa, Ubelgiji ni moja ya mataifa yanayofanya vizuri katika ulimwengu wa soka. Nafasi ya nane kwenye viwango vya...

Kuelekea Kombe la Dunia 2026: Austria (25)

VIENNA, AustriaMWAKA 2016, Austria ilipanda hadi nafasi ya 10 katika viwango vya ubora wa soka vya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA). Kwa sasa,...

Kuelekea Kombe la Dunia 2026: Panama (24)

PANAMA CITY, PanamaNI mara ya pili kwao kushiriki Kombe la Dunia baada ya kufanya hivyo mwaka 2018. Panama iko nafasi ya 30 katika viwango...

Kuelekea Kombe la Dunia 2026: Haiti (23)

PORT-AU-PRINCE, HaitiKWA mujibu wa viwango vya ubora wa soka duniani, Taifa hilo la Amerika ya Kaskazini linashika nafasi ya 84. Haiti iliwahi kusogea hadi...

Kuelekea Kombe la Dunia 2026: Curacao (22)

WILLEMSTAD, CuracaoVIWANGO vya ubora vya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) linaionesha Curacao ikiwa nafasi ya 82 duniani. Iliwahi kufika nafasi ya 68 mwaka...

Kuelekea Kombe la Dunia 2026: Morocco (21)

RABAT, MoroccoKWA sasa, Morocco inashika nafasi ya 11 katika viwango vya ubora vya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA).'Simba wa Atlas' ni mabingwa mara...

Recent articles

spot_img