22.8 C
Dar es Salaam

Baraza la tiba asili na tiba mbadala latakiwa kutumia tafiti kuleta mchango sekta ya afya

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amelitaka Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala nchini kujikita katika tafiti za dawa za tiba...

Habari Kuu

Jamii

spot_img

Afya

*Tani 14 kemikali bashirifu zazuiwa kuingia nchini Na Mwandishi Wetu, Gazetini Mamlaka  ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na vyombo mbalimbali vya dola, imefanikiwa kukamata jumla ya kilogramu 4,568 za dawa za kulevya, kuteketeza...

Mjumbe Maalum wa Rais Samia, Jakaya Kikwete akutana na Rais wa Burkina Faso

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, Rais mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, amehitimisha ziara yake kwa kukutana na Rais wa Burkina Faso, Captain Ibrahim Traoré,...

Urejelezwaji usio salama wa betri chakavu watajwa kuathiri mazingira na afya ya binadamu

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Imeelezwa kuwa urejelezwaji wa betri chakavu bila kuzingatia miongozo ya kimazingira ni chanzo kikubwa cha uchafuzi wa mazingira na huweza kusababisha madhara makubwa kwa afya ya binadamu kutokana na kemikali hatarishi hususan madini...

Makala

spot_img

Infographics

Siasa

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewataka viongozi kote nchini kuweka maslahi ya wananchi mbele na kuacha migogoro inayotokana na ubinafsi wao. “Hawa Watanzania hawataki migogoro yetu sisi viongozi na...

Dk. Tulia awataka watanzania kuulinda Muungano kwa wivu

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk. Tulia Ackson, amesema ni wajibu wa kila mtanzania kuhakikisha anailinda kwa wivu wote tunu ya...

Balozi Nchimbi akabidhiwa ‘kifimbo’ cha Mwalimu

Na Mwandhishi Wetu, Gazetini Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel  Nchimbi ametembelea nyumbani kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, kijijini Mwitongo, Wilaya ya Butiama na kukabidhiwa fimbo maalum na familia hiyo...
spot_img

Elimu

TPC Moshi yaboresha elimu kupitia ufadhili na miundombinu ya kisasa

Na Safina Sarwatt, Moshi Zaidi ya wanafunzi 1,000 kutoka familia zenye mazingira duni wamefaidika na mpango wa ufadhili wa masomo ulioanzishwa na Kiwanda cha Sukari TPC Moshi kupitia taasisi yake ya Foundation for Community Transformation in Kilimanjaro...
spot_img
Na Safina Sarwatt, Gazetini-Kilimanjaro Wanafunzi 68 wa kike wa shule ya sekondari ya TPC, mkoani Kilimanjaro, wamepokea ahueni kubwa baada ya kiwanda cha sukari cha TPC kufanikisha ujenzi wa bweni jipya. Hatua hii imetatua changamoto ya kutembea umbali...

Rais Samia avaa viatu vya Mwalimu G20

Na Absalom Kibanda, Rio de Janeiro-Brazil RAIS Samia Suluhu Hassan ameyataka mataifa tajiri duniani ya kundi la G20 kutafakari upya namna bora ya kukabiliana changamoto za njaa na umaskini duniani, akirejea msimamo thabiti wa Baba wa...

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Michezo

Latest news

Baraza la tiba asili na tiba mbadala latakiwa kutumia tafiti kuleta mchango sekta ya afya

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amelitaka Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala nchini kujikita katika tafiti za dawa za tiba...

Migogoro ya viongozi yamchefua Dk. Biteko

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewataka viongozi kote nchini kuweka maslahi ya wananchi mbele na kuacha...

Dk. Tulia awataka watanzania kuulinda Muungano kwa wivu

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk. Tulia Ackson, amesema...

Serikali yasajili miradi 73 ya biashara ya kaboni

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira),Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, amesema katika kuimarisha sekta ya hifadhi na...

Vipaumbele vitano Ofisi ya Msajili wa Hazina 2025/26

Na Ramadhan Hassan, Gazetni-Dodoma SERIKALI imewasilisha mbele ya Bunge vipaumbele vitano vya Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH) kwa mwaka wa fedha 2025/26, ambavyo vinakusudia...

Dk. Mpango aweka jiwe la msingi ujenzi wa viwanja Zanzibar

*Asema serikali zote mbili zimedhamiria kufanya mageuzi sekta ya michezo Na Mwandishi Wetu, Gazetini Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango...

Balozi Nchimbi akabidhiwa ‘kifimbo’ cha Mwalimu

Na Mwandhishi Wetu, Gazetini Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel  Nchimbi ametembelea nyumbani kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere,...

Serikali yawasilisha  bungeni vipaombele vitano vya Msajili wa Hazina 2025/26

Na Mwandishi wetu Serikali imewasilisha mbele ya Bunge vipaumbele vitano vya Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH) kwa mwaka wa fedha 2025/26 vinavyolenga kuongeza ufanisi...

Serikali yajipanga kujenga mradi mkubwa wa umeme Monduli

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, amesema  amesema kuwa mwaka huu Serikali inatarajia kujenga mradi mkubwa wa...

DCEA yakamata kilo 4,568 za dawa za kulevya

*Tani 14 kemikali bashirifu zazuiwa kuingia nchini Na Mwandishi Wetu, Gazetini Mamlaka  ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na vyombo mbalimbali vya...

Serikali kuendeleza mabonde kukabiliana na mafuriko

Na Mwandishi wetu, Gazetini Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inaendelea na mpango wa kuyaendeleza mabonde nchini kwa kuyatumia kutoa huduma za kijamii ikiwemo...

Mjumbe Maalum wa Rais Samia, Jakaya Kikwete akutana na Rais wa Burkina Faso

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, Rais mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, amehitimisha...