Ads: info@gazetini.co.tz |
20.9 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Meya Uingereza aibuka kumjibu Trump

LONDON, UingerezaMEYA wa Jiji la London, Sadiq Khan, amemwita Rais wa Marekani, Donald Trump, kuwa ni mtu aliyetawaliwa na ubaguzi wa rangi, jinsia na...

Zelensky aonya Urusi kuvamia mataifa mengine

KYIV, UkraineURUSI itaendelea kuvamia mataifa mengine ya Ulaya endapo Umoja wa Mataifa hautachukua hatua za kuizuia.Aliyesema hayo ni Rais wa Ukraine, Zelensky, wakati alipokuwa...

Maswali tata vidonge vya uzazi wa mpango

Na mwandishi wetu, GazetiniAPEKSHA Shetty, mwanamke raia wa India mwenye makazi yake mjini Vienna, anasema alianza kutumia vidonge vya uzazi wa mpango akiamini vingemsaidia...

Kwanini wanasoka Ujerumani hawaipati Ballon d’Or?

Munich, UjerumaniMARA ya mwisho kwa mchezaji wa Ujerumani kutwaa tuzo ya Ballon d'Or ni miaka takribani 30 iliyopita. Ni Matthias Sammer aliyeibeba mwaka 1996.Sammer...

Antony apachika bao, aizima Nottingham

SEVILLE, HispaniaBAO la dakika ya 85 la winga wa zamani wa Manchester United, Antony, limeiwezesha Real Betis kupata sare ya mabao 2-2 dhidi ya...

Kinga ya Ukimwi yashushwa bei

WASHINGTON DC, MarekaniDAWA ambayo ni kinga dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi sasa itauzwa kwa Dola 40 (Shilingi 99,061 za Tanzania), ikiwa ni punguzo la...

Mutharika arudi Ikulu, Chakwera akubali yaishe

LILONGWE, MalawiALIYEWAHI kuwa Rais wa Malawi, Peter Mutharika, ametangazwa kuwa mshindi wa kiti cha urais katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika wiki iliyopita.Wakati huo huo, aliyekuwa...

Chart| Kilimanjaro kinara kwa idadi ya wazee Tanzania

Na Mwandishi Wetu, Gazetini KULINGANA na takwimu za Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 zilizotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), imebaini...

TCCIA: Rostam Aziz ni mfano bora wa kuigwa kwa wawekezaji nchini

*Yagusia suala la Tancoal Na Mwandishi Wetu, Gazetini CHEMBA ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) imetoa rai kwa Serikali kuweka sera madhubuti zitakazowawezesha Watanzania kushiriki...

Madeuke nje ya uwanja kwa wiki sita

LONDON, UingerezaKOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta, atamkosa kwa wiki sita hadi nane winga wake mpya, Noni Madueke, baada ya nyota huyo kupata majeraha ya...

Joe Biden amemaliza urais, amebaki na madeni

Na Mwandishi Wetu, Gazetini AKIWA na umri wa miaka 82, Joe Biden aliondoka madarakani na kumpisha Donald Trump aliyeshinda katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana...

Recent articles

spot_img