MANCHESTER, UingerezaLICHA ya kutokufanya vizuri uwanjani, klabu ya Manchester United imevunja rekodi ya mapato yake baada ya kukusanya Pauni milioni 666.5 kwa mwaka jana.Ndani...
MANCHESTER, UingerezaIMERIPOTIWA kuwa matokeo ya mechi tatu zijazo ndiyo yatakayoamua hatima ya kibarua cha kocha wa Manchester United, Ruben Amorim.Man United inasota msimu huu...
MELBOURNE, AustraliaKIUNGO wa zamani wa Chelsea na Manchester United, Juan Mata, amesajiliwa na Melbourne Victory inayoshiriki Ligi Kuu ya Australia.Msimu uliopita. Mata mwenye umri...
BENFICA, UrenoHAITASHANGAZA kuona kocha wa zamani wa Liverpool, Jurgen Klopp, akiajiriwa kuliongoza benchi la ufundi la Benfica.Ndiyo, mmoja ya wagombea wa nafasi ya urais...
MANCHESTER, UingerezaKWA mujibu wa Wayne Rooney, Manchester United imekuwa mbovu zaidi chini ya kocha raia wa Ureno, Ruben Amorim.Man United, mabingwa mara 20 wa...
Na mwandishi wetu, GazetiniKWA upande mmoja, Ibrahim Traore wa Ivory Coast anatajwa kuwa ni shujaa, akionekana kuwa ni mtetezi halisi wa Bara la Afrika...
CATALUNYA, HispaniaKOCH wa Barcelona, Hansi Flick, amefichua kuwa atamkosa mshambuliaji wake, Lamine Yamal, katika mchezo wa Alhamisi ya wiki hii dhidi ya Newcastle United.Wakati...
LONDON, UingerezaNI wiki chache tu zimepita tangu msimu huu (2025-26) wa soka la Ulaya ulipoanza lakini tayari baadhi ya makocha wameonja 'joto la jiwe'...
LONDON, UingerezaWAKATI Chelsea ikilazimishwa sare ya mabao 2-2 na Brentford jana, hali ilikuwa mbaya kwa Waziri Mkuu wa Uingereza aliyekuwa uwanjani akifuatilia mchezo huo...
ATHENS, UgirikiMSHAMBULIAJI wa zamani wa Manchester United, Anthony Martial, amekamilisha usajili wa kujiunga na Monterrey ya Mexico.Nyota huyo anaungana beki wa zamani wa Real...