Na mwandishi wetu, Gazetini
KATIKA siasa za Afrika na dunia kwa ujumla, Idi Amin ni mfano mzuri wa marais walioamua kuipuuza misingi ya demokrasia na...
Na mwandishi wetu, Gazetini
BAADA ya Yanga kuanza kwa ushindi msimu huu wa Ligi Kuu Bara (2026-27), Simba nayo imejibu mapigo kwa kuitandika Kagera Sugar...
Na mwandishi wetu, Gazetini
NI moja ya sekta muhimu yenye fursa kubwa ya kuchangia maendeleo ya nchi. Hii inatokana na utajiri wa rasilimali za madini,...
Na mwandishi wetu, Gazetini
SEKTA hizi zitakuwa kiini cha ukuaji wa miji ya Tanzania, zikikidhi mahitaji yanayoongezeka ya makazi, miundombinu na huduma za umma, huku...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KUTEGEMEA kilimo pekee kwa muda mrefu ni changamoto kwa kuwa mabadiliko ya tabianchi, kuyumba kwa bei, misukosuko ya masoko duniani kunaweza...
KABUL, Afghanistan
KWA wananchi wa Afghanistan, miaka mitano ya utawala wa Kundi la Taliban imekuwa ya mafanikio makubwa katika kurejesha amani nchini humo.
Hata hivyo, wanalitaka...
Na mwandishi wetu, Gazetini
SUPASTAA wa muziki wa R&B nchini Marekani, Trey Songz, alikuwa katika Viwanja vya Posta, Kijitonyama jijini Dar es Salaam jana Agosti...
PARIS, Ufaransa
PSG imekamilisha usajili wa mshambuliaji kutoka Barcelona, Ferran Torres, na kumkabidhi jezi namba 9 klabuni hapo.
Mhispania huyo mwenye umri wa miaka 26, amesaini...
JAKARTA, Indonesia
WATU takribani 47 wameripotiwa kupoteza maisha katika tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7.7 lililotokea asubuhi ya leo Agosti 15, 2026, nchini Indonesia.
Kupitia...
TEHRAN, Iran
HATIMAYE Serikali ya Iran imeibuka na ujumbe wa kusisitiza kuwa bado ndiyo inayodhibiti safari zote za meli katika Mlango-Bahari wa Hormuz.
Kuibuka kwa Iran...
LONDON, Uingereza
ARSENAL na Manchester City zitakwana kesho Agosti 16, 2026, mchezo wa Ngao ya Jamii utakaochezwa katika Uwanja wa Principality mjini Cardiff, Wales.
Ni mchezo...