Na mwandishi wetu, Gazetini
SEKTA hii itachukua nafasi muhimu katika kuendesha maendeleo ya Tanzania, hususan katika maeneo ya biashara, huduma za ukarimu, na huduma zingine...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KAMA zilivyo zingine, sekta hii nayo itakuwa kichocheo muhimu cha mageuzi ya kiuchumi ifikapo mwaka 2050. Kwanini?
Mahitaji ya huduma za kifedha,...
Na mwandishi wetu, Gazetini
SEKTA hizo zina uwezo mkubwa ambao haujatumiwa kikamilifu katika kuchochea maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Sekta hizi zinatoa fursa muhimu kwa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
SEKTA ya Uchumi wa Buluu unaozingatia matumizi endelevu ya rasilimali za bahari na maji baridi, utakuwa na mchango mkubwa katika kuleta...
Na mwandishi wetu, Gazetini
TAARIFA ya hali ya Dawa za Kulevya Duniani ya mwaka 2025 ilionesha kuwa matumizi ya dawa za kulevya yamefikia kiwango cha...
MANCHESTER, Uingereza
BAADA ya filimbi ya mwisho katika mchezo wao wa Ngao ya Jamii dhidi ya Arsenal jana Agosti 16, 2026, kocha Enzo Maresca alisema...
CARDIFF, Wales
WASHIKA Bunduki wa London, Arsenal, wametwaa ubingwa wa Ngao ya Jamii baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Manchester City.
Mechi hiyo ya...
Na mwandishi wetu, Gazetini
HISTORIA inakumbusha, kwamba kwa amri ya Obote, Idi Amin aliongoza jeshi kuvamia makazi ya Kabaka, vurugu zilizosababisha vifo vya raia zaidi...