Ads: info@gazetini.co.tz |
20.2 C
Dar es Salaam

Author: Gazetini Editor

Rais Samia: Mwelekeo ni elimu ya ujuzi kwa vijana kumudu soko la ajira

Na Mwandishi Wetu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya CCM anayoiongoza, imechukua hatua madhubuti katika kuweka mwelekeo...

Kiwanda cha GFA chasheherekea uundaji magari 4000 nchini

Na Mwandishi Wetu Kiwanda cha kwanza kutengeneza na kuunganisha magari Tanzania cha GF Vehicles Assemblers (GFA), kilichopo Kibaha mkoani Pwani , kimesheherekea kufikia utengenezaji wa...

Pazi ampiga mkwara Viguro kuelekea Dar Boxing Derby

Na Mwandishi Wetu Kuelekea pambano la Dar Boxing Derby, bondia Iddi Pazi wa Chanika , ametamba kumchapa mpinzani wake Viguro Shafii wa Mabibo watakapopanda ulingoni...

Mwanamke ajiua kwa sumu  kisa mapenzi

Na Mwandishi Wetu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishina Msaidizi Richard Abwao,  amesema mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Catherine Fito, mwenye umri wa miaka...

Mwanafunzi wa chuo amuua mwenzake  wakiwa Club

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia (Must), mwaka wa kwanza, Emilia Joseph (21)...

Kinyozi ahukumiwa  kifungo cha miaka 30 jela kwa kubaka mwanafunzi

Na Mwandishi Wetu Mahakama ya Wilaya ya Kwimba imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela kinyozi wa saluni ya kiume, Lindwa Clement Balthazari (30), mkazi wa...

Waziri Mkuu aagiza  kukamilishwa ukarabati viwanja vya mazoezi ya CHAN  2025

Na Mwandishi Wetu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefanya ukaguzi wa viwanja vitakavyotumika kufanyia mazoezi kwa timu zitakazo shiriki michuano ya CHAN Agosti 2025 na AFCON...

Kocha Yanga: Siwaandai wachezaji wangu kisaikolojia kwa sababu si wagonjwa

Na Mwandishi Wetu Kocha Mkuu wa Yanga, Miloud Hamad amesema hawaandai wachezaji wake kisaikolojia kwa sababu si wagonjwa,  wako vizuri kiakili, yeye kama kocha kazi yake...

Rais Samia azindua kiwanda cha kutengeneza mabomba ya maji na uchakataji Pamba

Mwandishi Wetu Rais Samia Suluhu Hassan, leo Juni 16, 2025, amezindua kiwanda cha kutengeneza mabomba ya maji na uchakataji wa pamba cha MOLI Oil Mills...

Lissu ajitetea mwenyewe mahakamani,  awaweka pembeni  mawakili wake 30

Na Mwandishi Wetu Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imekubali maombi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu la kujitetea mwenyewe katika...

TSA yahitimisha msimu kibabe kwa mabingwa watoto kupatikana, BMT yawapongeza

Na Mwandishi Wetu Chama Cha Kuogelea Tanzania (TSA), kimehitimisha msimu wa mashindano kwa mujibu wa kalenda yao kwa kupata mabingwa katika michuano ya Taifa ya...

Uchaguzi Mkuu TFF Agosti 16

Na Mwandishi Wetu Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania imetangaza uchaguzi mkuu wa shirikisho hilo utakaofanyika Agosti 16, 2025 jijini Tanga. Taarifa ya Mwenyekiti...

Recent articles

spot_img