Ads: info@gazetini.co.tz |
25.6 C
Dar es Salaam

Author: Gazetini Editor

MUNICH, Ujerumani RIPOTI zinaeleza kuwa straika wa kimataifa wa England, Harry Kane, amekubali kuongeza mkataba utakaombakiza katika klabu ya Bayern Munich hadi mwaka 2029. Awali, ilielezwa kuwa pande mbili hizo ziko mezani na sasa kituo cha televisheni cha...
LOS ANGELES, Marekani MMOJA ya washitakiwa wanne wa mauaji ya Pop Smoke amemuomba radhi mama mzazi wa staa huyo wa muziki wa Hip hop nchini Marekani. Blockstar aliyetajwa kuhusika katika tukio la kumpiga risasi Pop Smoke mwaka 2020,...

Haaland kama kawa, avunja rekodi Ulaya

MANCHESTER, Uingereza STRAIKA wa Manchester City, Erling Haaland, alifunga mabao mawili, licha ya timu yake kufungwa mabao 4-2 na PSG katika mechi ya Ligi ya...

Mkongwe amchongea Lisandro Martinez

MANCHESTER, Uingereza STRAIKA wa zamani wa Ligi Kuu ya England , Jimmy Floyd Hasselbaink, ameitaka Manchester United kumsimamisha beki wake wa kati, Lisandro Martinez. Hasselbaink ni...

Rodri apanga usajili Barcelona

CATALUNYA, Hispania KIUNGO wa Barcelona, Rodri, ametaja maeneo yanayopaswa kufanyiwa kazi ili kuboresha kikosi hicho wakati wa usajili wa kiangazi, 2027. Rodri ameibuka na ushauri huo...

Alvarez kumfuta kazi wakala

MADRID, Hispania MSHAMBULIAJI wa Atletico Madrid, Julian Alvarez, atabadilisha wakala baada ya huyu wa sasa kushindwa kukamilisha usajili wa kujiunga na Barcelona wiki chache zilizopita. Ripoti...

Cisse aandika historia yake Ligi ya Mabingwa

MILAN, Italia MSHAMBULIAJI wa AC Milan, Alphadjo Cisse, alitupia ‘hat trick’ katika ushindi wao wa mabao 4-0 dhidi ya RB Salzburg, mchezo wa Ligi ya...

PSG yakubali dau la Garcia

BASEL, Uswis KLABU ya PSG ya jijini Paris, Ufaransa, imekubali kuweka mezani ofa ya euro milioni 70 ili kukamilisha usajili wa beki wa Barcelona, Eric...

Arsenal nguvu zote kwa Kim Min-jae

MUNICH, Ujerumani NI taarifa kutoka Ujerumani, kwamba Arsenal wanaipambania kwa nguvu zote saini ya beki wa kati wa Bayern Munich, Kim Min-jae. Washika Bunduki wanataka kuona...

Chelsea yamkodolea macho Vuskovic

LONDON, Uingereza KLABU ya Chelsea imeanza harakati za kuinasa saini ya beki wa kati wa zamani wa Tottenham, Luka Vuskovic. Nyota huyo wa kimataifa wa Croatia...

Liverpool yapanga kuibomoa Juventus

MERSEYSIDE, Uingereza KLABU ya Liverpool inajipanga kumsajili beki wa Juventus ya Ligi Kuu nchini Itaia , Pierre Kalulu. Inaelezwa kuwa usajili wa beki mpya ni kipaumbele...

Barcola aandika historia Liverpool

MERSEYSIDE, Uingereza MSHAMBULIAJI raia wa Ufaransa, Bradley Barcola, alipachika ‘hat trick’ jana Oktoba 14, 2026, wakati Liverpool ilipoitandika LASK Linz mabao 6-3 katika mechi ya...

Mbappe avunja rekodi ya Messi

MADRID, Hispania MSHAMBULIAJI wa Real Madrid, Kylian Mbappe, amekuwa mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kufikisha mechi 100 za Ligi ya Mabingwa Ulaya. Awali, rekodi hiyo ilikuwa...

Gilberto Mora aingia ‘18’ za Liverpool

MERSEYSIDE, Uingereza KLABU ya Liverpool imeingia mazima katika mbio za kuiwania saini ya kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Mexico, Gilberto Mora. Mora ametimiza umri wa miaka...

Recent articles

spot_img