Ads: info@gazetini.co.tz |
28.8 C
Dar es Salaam

Author: Gazetini Editor

CAF yaipiga faini Simba, kucheza bila mashabiki

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Klabu ya Simba SC imepigwa faini ya Dola za Marekani 50,000 ( zaidi ya Sh. 100 milioni) na kuamriwa kucheza bila...

Simbu aweka rekodi ya pekee Tanzania, Rais Samia ampongeza

Na Mwandishi Wetu Mwanariadha Alphonce Simbu ameweka rekodi ya kuwa mwanariadha wa kwanza Tanzania  kushinda medali ya dhahabu katika mbio za riadha za Dunia 2025...

EU, WWF watoa vifaa vya zaidi ya sh bilioni 1 kusaidia ulinzi wa misitu Tanzania

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WIZARA ya Maliasili na Utalii imepokea jumla ya vifaa 74 vyenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni moja kwa ajili ya...

Mvua za vuli kunyesha kwa wastani  kuanzia  Oktoba

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetangaza kuwa msimu wa mvua za vuli kwa mwaka 2025, unaotarajiwa kuanzia Oktoba hadi...

Mpina ashinda kesi, ruksa kugombea Urais

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina leo Septemba 11, 2025 ameshinda kesi ya kupinga kuzuiwa kurejesha fomu...

Tembo Warriors yatinga nusu fainali CECAAF

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Burundi Timu ya Taifa ya watu wenye ulemavu Tanzania 'Tembo Warriors' imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya mashindano ya Afrika...

Ajali yaua wanafunzi kidato cha sita Rorya

Na Mwandishi Wetu,Gazetini Watu saba wamefariki dunia wakiwamo wanafunzi wawili wa kidato cha sita wa shule ya Sekondari Songe, Musoma baada ya gari Toyota Succeed walilokuwa wakisafiria...

Simba Day ina wenyewe bwana!

Na Winfrida Mtoi, Gazetini MASHABIKI wa timu ya Simba wamejitokeza kwa wingi kuhakikisha wanashuhudia kilele cha Simba Day leo Septemba 10, 2025, burudani kutoka kwa...

Taifa Stars yapigwa nyumbani, matumaini kucheza kombe la dunia yafifia

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imepoteza mchezo wake dhidi ya Niger uliopigwa leo Septemba 9, 2025 katika Dimba la...

Serikali yasimamisha mchakato uchaguzi TOC

Na Winfrida Mtoi, Gazetini Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imesitisha mchakato wa uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), uliopangwa kufanyika Oktoba 4,...

Dk. Philip Mpango wakiteta jambo na Rais wa Kenya kabla ya mkutano wa Mabadiliko ya Tabiachi- Ethiopia

PICHA: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango akizungumza na Rais wa Kenya Dk. William Ruto kabla ya kuanza...

Waziri Mkuu amtaka Balozi wa Tanzania nchini Japan kuhamasisha uwekezaji

Na Mwandishi Wetu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemtaka Balozi wa Tanzania nchini Japan, Anderson Mutatembwa kusimamia utekelezaji wa sera ya mambo ya nje ikiwa ni...

Recent articles

spot_img