Ads: info@gazetini.co.tz |
24.2 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Watatu wakamatwa mauaji ya jenerali wa jeshi

MOSCOW, Urusi MAMLAKA nchini Urusi zimetangaza kuwashikilia watu watatu wanaohisiwa kuhusika katika mauaji ya aliyekuwa kiongozi wa juu wa jeshi, Luteni Jenerali Vladimir Alexeyev. Kwa mujibu...

Mbappe awekwa ‘levo’ za Ronaldo

MADRID, Hispania KWA mujibu wa kocha wa Real Madrid, Alvaro Arbeloa, Kylian Mbappe ana mchango mkubwa kikosini, kama alivyokuwa Cristiano Ronaldo miaka kadhaa iliyopita. Alberoa ametoa...

Merino wa Arsenal nje msimu mzima

LONDON, Uingereza HABARI mbaya kwa mashabiki wa Arsenal ni kwamba kiungo wao raia wa Hispania, Mikel Merino, hatarejea dimbani hadi msimu ujao. Moreno amekosekana katika mechi...

Staa mpya Liverpool apata majanga

MERSEYSIDE, Uingereza NYOTA mpya wa Liverpool, Jeremy Jacquet, amepata majeraha ya bega akiwa uwanjani kuitumikia Rennes ya Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue 1). Mfaransa huyo mwenye...

Mashabiki milioni 10 wamkimbia Beyonce

LOS ANGELES, Marekani BIBIYE mwenye jina kubwa katika muziki wa R&B nchini Marekani, Beyonce, ambaye pia ni mke wa rapa Jay Z, amekutwa na kitu...

Wakimbilia Bima ya Mazishi wakikwepa gharama ya Afya

HARARE, Zimbabwe WANANCHI wa Zimbabwe wamepokea kwa mwitiko mkubwa Bima ya Mazishi, ikiwa ni baada ya kushindwa kumudu gharama za Bima ya Afya. Ifahamike kuwa Bima...

Enrique hana mpango na Man United

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG raia wa Hispania, Luis Enrique, havutiwi na mpango wa kuinoa Manchester United, licha ya kuhusishwa na klabu hiyo kwa ajili...

Madrid yamkomalia Rodri

MADRID, Hispania KLABU ya Real Madrid imerejea kwa kasi katika mpango wake wa kumfukuzia kiungo wa Manchester City na timu ya taifa ya Hispania, Rodri...

Badiashile ajiandaa kuondoka Chelsea

LONDON, Uingereza CHELSEA iko njiani kuachana na beki wake wa kati raia wa Ufaransa, Benoit Badiashile. Ataondoka klabuni hapo majira ya kiangazi ya mwishoni mwa...

Visual| Miamba ya Benki Tanzania: NMB vs CRDB

Na mwandishi wetu, Gazetini BENKI za NMB na CRDB zimeendelea kuthibitisha ubora na uimara wao katika sekta ya fedha nchini baada ya kila moja kutangaza...

UN: Wasichana milioni 4.5 hatarini kukeketwa mwaka 2026

NEW YORK, Marekani RIPOTI mpya ya Umoja wa Mataifa (UN) inaonesha kuwa wasichana takribani milioni 4.5 duniani kote wako kwenye hatari ya kufanyiwa ukeketaji kwa...

Maisha, mikasa ya Bob Marley (1)

Na mwandishi wetu, Gazetini HISTORIA ya maisha ya Bob Nesta Marley ina mengi ya kusisimua, ikiwa ni safari iliyoanzia Februari 6, 1945 na kufikia tamati...

Recent articles

spot_img