Ads: info@gazetini.co.tz |
24.2 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Kim Kardashian na wanaume 14 aliotoka nao kimapenzi

LOS ANGELES, Marekani STORI inayobamba kwa sasa kwenye tasnia ya burudani nchini Marekani ni hii ya mrembo Kim Kardashian kuanika penzi lake jipya na staa...

‘Machaka’ 6 ya Ronaldo akiondoka Saudia

RIYADH, Saudi Arabia LICHA ya mkataba wake kumalizika mwaka 2027, huenda Cristiano Ronaldo akaondoka Al-Nassr mwishoni mwa msimu huu wa 2025-26. Taarifa zilizopo zinadai kuwa nahodha...

‘Pacha’ za wachekeshaji zilizotamba Bongo

Na mwandishi wetu, Gazetini KUTOKA mitaani, majukwaani, hadi mbele ya kamera na sasa wamejijengea heshima kubwa kupitia sanaa ya uchekeshaji ndani ya Bongo. Hata hivyo, wapo...

Mastaa wa soka wanaotokea familia tajiri Ulaya

LONDON, Uingereza MCHEZO wa soka una historia kubwa ya kuwainua na kuwapa utajiri wachezaji wanaotoka katika familia za kimasikini. Miongoni mwao ni mkongwe wa soka la...

Visual| Wakali 10 wa mauzo ya jezi Ulaya

LONDON, Uingereza MAUZO ya jezi ni sehemu muhimu ya vyanzo vya mapato ya klabu za soka duniani kote, zikivuna mabilioni ya fedha kutokana na biashara...

Simulizi ya maisha ya ajuza wa miaka 101

BEIJING, China LICHA ya umri wake wa miaka 101, Jiang Yueqin haonekani ni mtu mwenye afya iliiyodhohofika. Bado ana meno yake yote 32 na amekuwa...

Mawani yanayosaidia wanaopoteza kumbukumbu

LOS ANGELES, Marekani KAMPUNI maarufu ya Animorph Co-operative imemtambulisha mawani ya kisasa, ambayo yatawasaidia wanaokabiliwa na ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu (dementia). Hata hivyo, Szczepan Orlins, ambaye...

Papa aingilia kati hali ya usalama Nigeria

LAGOS, Nigeria KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, ametuma ujumbe wake wa kutaka kuimarishwa kwa hali ya amani nchini Nigeria. Papa Leo ameyasema hayo...

Afrika Kusini yaondosha wanajeshi wake DRC

PRETORIA, Afrika Kusini SERIKALI ya Afrika Kusini imetangaza kuwarudisha nyumbani wanajeshi wake waliokuwa kwenye operesheni ya kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Ikumbukwe,...

Mpinzani wa Maduro atoka jela

CARACAS, Venezuela MWANASIASA wa upinzani na mkosoaji mkubwa wa utawala wa Nicolas Maduro, Juan Pablo Guanipa, ameachiwa huru baada ya kushikiliwa na vyombo vya dola...

Lai wa Hong Kong ahukumiwa miaka 20 gerezani

HONG KONG, China MFANYABIASHARA tajiri mjini Hong Kong, Jimmy Lai, amehukumiwa kifungo cha miaka 20 gerezani baada ya Mahakama kumkuta na hatia. Awali, lilikuwepo tishio la...

Polisi washikilia watu sita maandamano Italia

MILAN, Italia IMERIPOTIWA kuwa watu sita wako kwenye mikono ya polisi katika maandamano ya kupinga michuano ya Olimpiki mjini Milan. Milan ni moja ya miji sita...

Recent articles

spot_img