LOS ANGELES, Marekani
WA sasa, siasa za dunia zinatikiswa na kile kinachoitwa 'mafaili ya Epstein'. Ni taarifa za siri zilizoibuka baada ya Jeffrey Epstein kufariki...
NAIROBI, Kenya
NI mlinzi wa Kakamega Homeboyz ya Ligi Kuu nchini Kenya, Silas Abungana, ambaye amefariki akiwa na umri wa miaka 25.
Abungana (25), ameiaga dunia...
NEW YORK, Marekani
Bilionea maarufu duniani, Elon Musk, ameweka historia mpya baada ya kuwa mtu wa kwanza kumiliki utajiri unaozidi dola bilioni 800, kufuatia hatua...
LONDON, Uingereza
JINA la April Francis limetikisa vichwa vya habari za michezo nchini Uingereza baada ya mpenzi huyo wa beki wa West Ham United, Aaron...
Na mwandishi wetu, Gazetini
SUALA la kupata nafasi ya ajira baada tu ya kumaliza masomo limekuwa 'pasua kichwa' kwa wahitimu wengi wa vyuo vikuu. Si...
Na mwandishi wetu, Gazetini
IDADI ya watu 'wanaojichua' imeongezeka kwa kasi nchini Uingereza, huku wengi wao wakiwa ni wanaume, licha ya wanawake pia kujihusisha na...
MADRID, Hispania
BAADA ya kumfunga mkongwe Nikovac Djokovic, Carlos Alcaraz ameandika historia mpya katika mchezo wa tenesi duniani.
Alcaraz raia wa Hispania, alimtandika Djokovic na kutwaa...
LONDON, Uingereza
NI rasmi sasa Derek Chisora na Deontay Wilder watavaana, huku pambano hilo la ngumi za uzito wa juu duniani likitarajiwa kupigwa Aprili, 2026...
LAGOS, Nigeria
JESHI nchini Nigeria limefanikiwa kumuua aliyekuwa kiongozi wa Kundi la kigaidi la Boko Haram, Abu Khalid, katika operesheni iliyofanyika katika Msitu wa Sambisa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
LICHA ya kuongoza kwa mabao 2-0, Simba imejikuta ikiambulia pointi moja baada ya kulazimishwa sare ya 2-2 na Esperance, mchezo uliochezwa...
LONDON, Uingereza
USAJILI dirisha dogo wa Januari, 2026, umefungwa kwa klabu za Ligi Kuu ya England (EPL). Je, klabu yako imefanya sokoni?
Arsenal
Walioingia: Hakuna
Waliotoka: Harrison Dudziak...