Na mwandishi wetu, Gazetini
Licha ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 kuendelea kujadiliwa katika ngazi mbalimbali, bado wananchi wengi hawajaielewa kwa kina, jambo linaloonyesha...
Na Esther Mnyika, Gazetini
MFUMO wa fedha ulio salama na unaoaminika ni nguzo muhimu ya ukuaji wa uchumi na kuvutia uwekezaji. Hata hivyo, mafanikio hayo...
LONDON, Uingereza
RATIBA ya Ligi Kuu ya England (EPL) kwa msimu ujao wa 2026-27 iko hadharani. Je, lini mechi zitaanza na nani kufungua pazia?
AGOSTI 21,...
NAIROBI, Kenya
WAZIRI wa Usalama wa Ndani wa Kenya, Kipchumba Murkomen, ameagiza vyombo vya usalama nchini humo kufanya uchunguzi wa kina kuhusu madai ya vurugu...
Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro
JESHI la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limeeleza kuwa limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 188 wa makosa mbalimbali ya jinai, huku mmoja akihukumiwa kunyongwa...
TEHRAN, Iran
Mvutano kati ya Marekani na Iran umechukua sura mpya baada ya jeshi la Marekani kushambulia meli ya mafuta katika Ghuba ya Uajemi, huku...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MTANZANIA, Gloria Majule, ameendelea kuiwakilisha vyema Tanzania katika jukwaa la kimataifa la sanaa baada ya kuibuka mshindi wa tuzo ya uandishi...
Na mwandishi wetu, Gazetini
Tanzania imepata nyongeza ya nguvu katika jitihada za kuhamia kwenye matumizi ya nishati safi baada ya TaTEDO – Sustainable Energy Services...
Na mwandishi wetu, Gazetini
HATIMAYE msimu huu 16 wa Shindano maarufu la vipaji la Bongo Star Search umefikia ukomo kwa mwimbaji Praise Wisdom kuibuka mshindi.
Mwanamuziki...
WASHINGTON DC, Marekani
MAREKANI imefanya shambulizi la usiku kwa mara ya tatu huko Iran. Katika shambulizi la mwisho, watu wawili wamefariki huko Kusini-Magharibi mwa Iran,...