DAKAR, Senegal
RAIS wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, amezindua chama kipya cha kisiasa kiitwacho Kiiray (Chama cha Wazalendo wa Jamhuri), hatua inayotajwa kuimarisha mgawanyiko...
Na mwandishi wetu, Gazetini
VIONGOZI wa wanawake kutoka Afrika, Ulaya na maeneo mengine duniani wametoa wito wa kuimarishwa kwa juhudi za kujenga amani duniani, wakisisitiza...
Na mwandishi wetu, Gazetini
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Mbeya, Mhashamu Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga, amechaguliwa kuwa Rais mpya wa Shirikisho la Mabaraza ya...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga SC, wamekamilisha usajili wa winga wa kimataifa kutoka Zambia, Albert Kangwanda, kwa mkataba wa miaka miwili...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Emmanuel Nchimbi, amewataka Watanzania kuendelea kudai kupatikana kwa Katiba mpya yenye...
LAGOS, Nigeria
MAHAKAMA nchini Nigeria imewahukumu kifungo cha maisha jela wanaume watatu baada ya kupatikana na hatia ya makosa yanayohusiana na utekaji wa makumi ya...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KAMATI ya Kitaifa ya Kuratibu na Kusimamia Fedha za Mfuko wa Dunia nchini Tanzania (TNCM) imeidhinisha rasmi ombi la Tanzania la...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MKUU wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda, amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kufanya uchunguzi katika showroom za magari wilayani humo...
Na Ramadhan Hassan, Dodoma
SERIKALI imesema uamuzi wa kusitisha kwa muda mikutano ya hadhara umetokana na sababu za kiusalama baada ya vyombo vya ulinzi na...
CAIRO, Misri
RAIS wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), Patrice Motsepe, amempongeza Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, akimtaja kuwa kiongozi...
Na Ramadhan Hassan, Gazetini
NAIBU Waziri wa Fedha, Mshamu Ali Munde, kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, ameongoza ujumbe wa Tanzania...
NEW YORK, Marekani
MEYA wa Jiji la New York, Zohran Mamdani, amesema hana mamlaka ya kisheria ya kumkamata Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, iwapo...