Ads: info@gazetini.co.tz |
24.2 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Depu na kivuli cha Dube: Yanga inahitaji straika mpya?

Na mwandishi wetu, Gazetini MJADALA wa kiwango cha mashambuliaji wa kimataifa wa Angola, Depu, tangu asajiliwe na Yanga umeshika kasi mitandaoni na hata vijiweni, wengi...

Shangwe la ubingwa lawaponza mashabiki wa PSG

PARIS, Ufaransa POLISI nchini Ufaransa wanawashikikia mashabiki zaidi ya 400 wa PSG waliosababisha vurugu katika maeneo mbalimbali nchini humo baada ya timu yao kutwaa taji...

Rema afunguka sababu ya kumkimbia mpenzi wake

LAGOS, Nigeria MWANAMUZIKI wa Afrobeats, Divine Ikubor, maarufu kwa jina la Rema, amesema mpenzi wake alikuwa mkorofi na msumbufu, hivyo akaamua kuachana naye na kubaki...

Mgombea urais wa zamani Venezuela ataka Uchaguzi Mkuu

CARACAS, Venezuela ALIYEWAHI kuwa mgombea wa urais wa upinzani nchini Venezuela, Edmundo Gonzalez Urrutia, ametaka kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu ikiwa ni miezi mitano imepita tangu...

Wilshere awashusha presha mashabiki Arsenal

LONDON, Uingereza KIUNGO wa zamani wa Arsenal, Jack Wilshere, anaamini klabu hiyo haitosubiri tena miaka 20 kufika fainali na kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa...

Davido: Wasanii simameni na wananchi, siyo wanasiasa

LAGOS, Nigeria SUPASTAA wa muziki wa Afrobeats, David Adeleke, maarufu Davido, amekiri kuwa wasanii, akiwamo yeye, hawajafanya vya kutosha kusimama na wananchi katika changamoto zinazowakabili. Wakati...

Maelfu waandamana Uturuki kupinga uamuzi wa Mahakama

ANKARA, Uturuki MAELFU ya wananchi wa Uturuki wameingia barabarani kupinga uamuzi wa Mahakama kutokumtambua kiongozi wa upinzani,  Ozgur Ozel. Ozel ameondoshwa katika nafasi yake ya uongozi...

Carrick, Man United na safari ya matumaini 2025-26

MANCHESTER, Uingereza RUBEN Amorim alitimuliwa kwenye benchi Januari, 2026, na nafasi yake kuchukuliwa na kocha Michael Carrick, ambaye ameiwezesha Manchester United kurejea Ligi ya Mabingwa. Ni...

Udhibiti wa mitumba umekwama wapi Afrika Mashariki?

NAIROBI, Kenya MUONGO mmoja uliopita, Jumuhiya ya Afrika Mashariki (EAC), ilikiri kuwapo kwa utitiri wa nguo za mitumba na kutangaza mkakati wa kuweka mazingira magumu...

Eminem; Kutoka maisha magumu mtaani hadi ustaa

LOS ANGELES, Marekani ANAITWA Marshall Bruce Mathers III lakini mashabiki wake wanamfahamu kwa jina la Eminem, ambaye ni mmoja ya mastaa wakubwa na wa muda...

Sheria ya malezi ya watoto inayotesa ‘ma-ex’ Japan

TOKYO, Japan KABLA ya kufanyiwa marekebisho Aprili Mosi, 2026, Sheria ya Malezi nchini Japan ilimtaka mzazi mmoja pekee kumiliki mtoto/watoto pale ilipotokea ndoa au mahusiano...

Siku 365 zilivyohitimisha kibarua cha Arne Slot

MERSEYSIDE, England LIVERPOOL wametangaza kumfuata kazi kocha wao raia wa Uholanzi, Arne Slot. Ametimuliwa leo Mei 30, 2026, zikiwa ni siku 365 tangu alipoajiriwa. "Klabu ya...

Recent articles

spot_img