Na Hassan Mwasha,Gazetini
KADA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mchungaji Peter Msigwa, amesema kuimarika kwa Chama hicho chini ya Mwenyekiti Tundu Lisu ndiyo...
MAPUTO, Msumbiji
KWA siku za hivi karibuni, yamezuka matukio ya wanasiasa wa upinzani nchini Msumbiji kuuawa kwa kupigwa risasi.
Mei 9, 2026, Anselmo Vicente, ambaye ni...
Na Hassan Mwasha
MAISHA ya Juma Mgota, mkazi wa Mtaa wa Muhalitan, Tandale jijini Dar es Salaam, yanaweza kuwa sehemu ndogo tu ya madhila wanayopitia...
KINSHASA, DRC
WATAALAMU wa Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO) wameonya kuwa wanawake ndilo kundi lililo hatarini zaidi kupata maambukizi ya virusi vya...
LONDON, Uingereza
MABOSI wa Arsenal wanataka kumpa mkataba mpya kocha wao raia wa Hispania, Mikel Arteta, kabla ya timu hiyo kuanza kambi ya 'pre-season'.
Haraka hiyo...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MWISHONI mwa mwaka 2025, Madagascar ilitikiswa na maandamano makubwa ya vijana wa Gen-Z walioingia barabarani wakipinga hali mbaya ya kiuchumi, wakati...
MADRID, Hispania
WAZIRI Mkuu wa Hispania, Pedro Sanchez, ametimiza miaka nane tangu alipoingia madarakani, huku skendo za rushwa zikichukua nafasi kubwa katika uongozi wake kwa...
PARIS, Ufaransa
MWAKA 2011, matajiri wa kampuni ya Qatar Sports Investments ya Qatar walikuwa mezani na mabosi wa klabu ya kawaida tu, PSG. Matajiri wa...
LAGOS, Nigeria
MEJA Jenerali Mstaafu wa jeshi nchini Nigera, Rabe Abubakar, ametekwa na watu wasiojulikana akiwa na mkewe kwenye gari wakati wakiwa safarini katika Jimbo...