Ads: info@gazetini.co.tz |
25.2 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Yanga, Simba na vita ya Bil. 9/- za Caf

Na Mwandishi wetu, GazetiniBAADA ya kuingia hatua ya makundi, sasa klabu za Simba na Yanga zimesogelea utajiri wa michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.Yanga,...

Vyuo vikuu Urusi fursa kwa vijana Afrika

Na mwandishi wetu, GazetiniDIPLOMASIA ya taaluma ni eneo jingine ambalo Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi imewekeza nguvu kubwa katika mahusiano yake na...

Rais Syria aondoshewa vikwazo Umoja wa Mataifa

NEW YORK, MarekaniBARAZA la Usalama la Umoja wa Mataifa limemuondoshea vikwazo Rais wa Syria, Ahmed al-Sharaa.Hatua ya kuondoshwa vikwazo inakuja wakati huu Rais huyo...

Ajax yapanga kumtimua kocha

AMSTERDAM, UholanziMABOSI wa klabu ya Ajax wako mbioni kumfuta kazi kocha John Heitinga, licha ya kwmaba ni miezi sita tu tangu ilipompa ajira ya...

Mataifa yanayoongoza kwa madeni duniani

Na mwandishi wetu, GazetiniDENI la Dunia limefikia Dola za Marekani trilioni 110.9 lakini zipo nchi zinazooneka kuwa kinara wa kukopa, kwa mujibu wa takwimu...

Kufanya vizuri AFCON, kupanga ni kuchagua!

Na Hassan Mwasha, GazetiniKWA miaka sita ya hivi karibuni, timu ya soka ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imefuzu mara tatu fainali za Mataifa...

Nini chanzo idadi ndogo ya wapiga kura?

Na mwandishi wetu, GazetiniLICHA ya Rais Alassane Ouattara kushinda na kurejea madarakani kwa muhula wa nne, idadi ndogo ya wananchi waliojitokeza kupiga kura katika...

Kinga ya Ukimwi ilivyozua gumzo Zimbabwe

HARARE, Zimbabwe IFAHAMIKE kuwa Zimbabwe ni miongoni mwa mataifa 10 duniani yaliyochaguliwa kupokea kinga ya ugonjwa wa Ukimwi ya Lenacapavir. Hata hivyo, wakati wataalamu wa...

Bado makocha wazawa hawana nafasi Simba, Yanga?

Na Hassan Mwasha, GazetiniHIVI karibuni, klabu kongwe zaidi za soka nchini, Simba na Yanga, zilitangaza makocha wapya. Simba ilimuajiri, Dimitar Pantev, wakati Yanga walimpa...

Kwanini paka weusi huhusishwa na imani za kishirikina?

Na mwandishi wetu, GazetiniUKIWA kwenye mizunguko yako, hasa nyakati za usiku, ghafla anakatiza paka mweusi mbele yako. Bila shaka, utaanza kuhisi hatari inayohusiana na...

Pioli afungashiwa virago Serie A

MILAN, ItaliaMABOSI wa Fiorentina wametangaza kumfuta kazi kocha wao, Stefano Pioli, kutokana na mwenendo usioridhisha wa timu hiyo msimu huu wa Ligi Kuu ya...

Arsenal wavunja rekodi ya mwaka 1903

LONDON, UingerezaBAADA ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Slavia Prague usiku wa jana, sasa Arsenal imeandika historia ya kucheza mechi nane mfulululizo bila...

Recent articles

spot_img