Ads: info@gazetini.co.tz |
26.2 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Usiyoyajua kuhusu Uchaguzi Mkuu Guinea-Bissau

Na mwandishi wetu, GazetiniKUELEKEA Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu uliofanyika Jumapili ya wiki iliyopita, Rais Umaro Sissoco Embalo alishajiweka kwenye nafasi nzuri ya kushinda...

Simulizi (2): Taribo West; Kutoka kutumia ‘hirizi’ uwanjani hadi uchungaji kanisani

Na mwandishi wetu, GazetiniKATIKA ulimwengu wa soka, wachezaji wengi wanatufundisha kuhusu maadili, juhudi, na vipaji vya ajabu. Lakini kwa Taribo West, nyota wa zamani...

Simulizi (1): Patrick Kluivert; Aliua lakini familia ya marehemu ikamtetea asifungwe

Na mwandishi wetu, GazetiniPATRICK Kluivert, mzaliwa wa Jiji la Ajax, Uholanzi, alikulia katika familia ya wapenzi wa soka. Baba yake alicheza, ingawa hakufanikiwa kuwa...

Safari ya Patrick Kluivert; soka, makosa na mafanikio

Na Mwandishi Wetu, Gazetini PATRICK Kluivert, mzaliwa wa jiji la Amsterdam nchini Uholanzi, alikulia katika familia yenye mapenzi makubwa kwa mchezo wa soka. Baba yake...

Makocha wazawa Afrika watakaotamba Kombe la Dunia 2026

CAIRO, MisriKWA mara ya kwanza katika historia ya Kombe la Dunia, fainali za mwakani zitazihuhudia timu nyingi za Afrika zikiwa chini ya makocha wazawa.Kati...

Antoine Semenyo; Mkali wa mabao anayegombewa Ligi Kuu ya England

LONDON, UingerezaWINGA wa Bournemouth raia wa Ghana, Antoine Semenyo, atauzwa endapo tu klabu zinazomtaka zitaweka mezani kitita cha Pauni milioni 65.Semenyo (25), alikuwa kwenye...

Marekani: Tumefikia pazuri kumaliza vita Urusi-Ukraine

WASHINGTON, Marekani SERIKALI ya Marekani kupitia kwa Katibu Mkuu wake, Marco Rubio, imeeleza kufikia pazuri katika jitihada za kumaliza vita kati ya Urusi na Ukraine....

Wanafunzi 50 wawatoroka waasi Nigeria

LAGOS, NigeriaTUKIO la kikundi cha waasi nchini Nigeria kuvamia moja ya shule na kuteka wanafunzi 315 limechukua sura mpya.Wanafunzi hao walivamiwa Ijumaa ya wiki...

Israel yamuua kiongozi wa Hezbollah

JARUSALEM, IsraelIMERIPOTIWA kuwa kiongozi mwandamizi wa Kundi la Hezbollah la Lebanon, Haitham Ali al-Tabtabai, ameuawa katika shambulizi lililofanywa na vikosi vya Israel.Kwa mujibu wa...

Casemiro aombwa kupunguza mshahara United

MANCHESTER. UingerezaMABOSI wa Manchester United wameanza harakati za kumshawishi kiungo wake, Casemiro, asaini mkataba mpya klabuni hapo.Hata hivyo, ushawishi huo unaenda sambamba na mabosi...

Konate kulamba mkataba mpya Liverpool

MERSEYSIDE, UingerezaMABOSI wa Liverpool wamempa ofa ya mkataba mpya beki wake wa kati raia wa Ufaransa, Ibrahima Konate.Hatua hiyo ya Liverpool inakuja wakati huu...

Bellingham aiokoa Madrid, yarudi kileleni

MADRID, HispaniaUSIKU wa kuamkia leo, kiungo wa Real Madrid, Jude Bellingham, alifunga bao moja na kutoa 'asisti' katika mchezo dhidi ya Elche.Mchezo huo wa...

Recent articles

spot_img