Ads: info@gazetini.co.tz |
26.2 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Mastaa hawa Bundesliga kukimbilia EPL?

MUNICH, UjerumaniKWA miaka ya hivi karibuni, Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundesliga) ni kama imepoteza ushawishi wake mbele ya Ligi Kuu ya England (EPL). Kivipi?Iko...

Benki ya Dunia: DRC, Msumbiji zinaongoza kwa umasikini Afrika

Na mwandishi wetu, GazetiniUMASIKINI umeendelea kuwa changamoto kubwa kwa Afrika, huku takwimu zikionesha kuwa mamilioni ya watu barani humu wanaishi chini ya Dola tatu...

‘Mashemeji Derby’ bado kizungumkuti Kenya

NAIROBI, KenyaKUNA uwezekano mkubwa wa 'derby' kubwa zaidi Ligi Kuu ya Kenya kati ya Gor Mahia na AFC Leopards ikapigwa kalenda kwa mara nyingine.'Mashemeji...

Ronaldo ndani mechi ya kwanza Kombe la Dunia

LISBON, UrenoLICHA ya kadi nyekundu, nahodha wa timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo, hatakosa mechi ya kwanza ya fainali zijazo za Kombe la...

Estevao, Yamal na vita ya ufalme

LONDON, UingerezaWAKATI Chelsea ikiitandika Barcelona mabao 3-0 katika mchezo wa usiku wa jana wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Estevao alikuwa mwiba mchungu kwa Wacatalunya...

Vinicius kuvunja rekodi Arsenal?

LONDON, UingerezaKLABU ya Arsenal imeripotiwa kupiga hatua kubwa katika harakati zake za kuinasa saini ya mshambuliaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya...

Kocha Bafana Bafana aita kikosi cha AFCON

PRETORIA, Afrika KusiniKOCHA wa timu ya taifa ya Afrika Kusini 'Bafana Bafana', Hugo Broos, ameitakikosi cha awali cha wachezaji 54 kwa ajili ya fainali...

Viwango vipya CAF, Simba nafasi ya tano

CAIRO, MisriRIPOTI mpya ya viwango vya ubora wa klabu vya Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) imetoka na Simba ya Tanzania iko nafasi ya...

Makocha waliotimuliwa wakiwa na siku chache kazini

LONDON, UingerezaMWEZI uliopita, Ange Postecoglou aliweka rekodi ya kuwa kocha aliyefukuzwa ndani ya muda mfupi zaidi katika historia ya Ligi Kuu ya England (EPL).Mabosi...

Haaland, Mbappe, Kane na kufuru ya mishahara Ulaya

LONDON, UingerezaKLABU za Ulaya zinaendelea kumwaga mishahara minono kwa nyota wao, huku zile za Ligi Kuu ya England zikitajwa kuongoza.Katika makala haya, hawa ni...

Makocha hawa kiboko kwa kadi nyekundu

LONDON, UingerezaWAKATI mwingine, makocha wamejikuta wakizidiwa na presha ya kile kinachoendelea uwanjani na mwishowe kuadhibiwa kwa kadi nyekundu.Ni kama ilivyotokea kwa makocha hawa, ambao...

Imani za kishirikina na matumizi ya viungo vya binadamu

Na mwandishi wetu, GazetiniIKO hivi; kwa mujibu wa ripoti ya mwaka 2022 ya Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO), Taifa la Siera...

Recent articles

spot_img