Ads: info@gazetini.co.tz |
22.7 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Miaka 250 ya Uhuru: Rais Trump alivyoigawa Marekani

WASHINGTON DC, Marekani JULAI 4, 2026, Marekani itasherehekea miaka 250 tangu ilipopata uhuru wake mwaka 1776 kutoka kwa Uingereza. Hata hivyo, 'birthday' inakuja wakati Taifa hilo...

Usijichanganye! Brazil haijawahi kutoboa kwa Norway

TORONTO, Canada WIKIENDI hii, Julai 5, 2026, itashuhudiwa mechi kali ya hatua ya 16 Bora ya Kombe la Dunia kati ya Brazil na Norway ya...

Hii ndiyo Mexico inayosumbua Kombe la Dunia

MEXICO CITY, Mexico LICHA ya kuchukuliwa poa hata kabla ya michuano ya Kombe la Dunia kuanza Juni 11, 2026, Mexico ni moja ya timu zilizofanya...

Ndoa ya Taylor Swift inavyoitikisa Marekani

LOS ANGELES, Marekani GUMZO kubwa katika tasnia ya burudani nchini Marekani ni ndoa ya bibiye Taylor Swift na mpenzi wake, Travis Kelce, huku mashabiki wa...

RC Katavi atoa siku 90 kurejesha mikopo, Tanganyika yapongezwa

Na Mwandishi wetu, Gazetini MKUU wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, ametoa siku 90 kwa vikundi vyote vilivyonufaika na mikopo ya asilimia 10 kutoka halmashauri...

‘Ushamba’ huu unaua ‘brand’ anayoipigania Injinia Hersi

Na mwandishi wetu, Gazetini MSIMU wa 2025/26 ulifikia tamati Juni 30, 2026, na habari kubwa ni Yanga kutwaa taji kwa mara ya tano mfululizo. Kwa ufupi,...

Trump alivyokwama kufuta uraia wa kuzaliwa

WASHINGTON DC, Marekani MAHAKAMA Kuu ya Marekani imezuia jaribio la Rais Donald Trump aliyetaka kufuta uraia wa kuzaliwa, ambao umekuwa ukitambulika katika sheria za nchi...

Mnyukano unaoendelea kati ya Bunge, Rais Senegal

DAKAR, Senegal MAPEMA wiki hii, Bunge la Senegal lilipitisha mabadiliko ya Katiba yaliyozua utata, yakimuondoshea madaraka makubwa aliyonayo Rais. Hatua hiyo iliibua mgogoro mkubwa, hata polisi...

Mtoto wa miaka mitatu aokolewa kwenye kifusi

CARACAS, Venezuela MTOTO wa kiume mwenye umri wa miaka mitatu ni miongoni mwa waliookolewa katika operesheni inayoendelea baada ya tetemeko la ardhi lililoikumba Venezuela. Taarifa za...

Wanafunzi 36 bado wanashikiliwa na watekaji

LAGOS, Nigeria WANAFUNZI 36, pamoja na mfanyakazi wa shule, bao hawajaachiwa na kikundi cha waasi, kwa mujibu wa Polisi nchini Nigeria. Mapema wiki hii, waasi hao...

Joto lasababisha vifo 1,000 nchini Hispania

MADRID, Hispania WATU zaidi ya 1,000 wamepoteza maisha kutokana na magonjwa yanayohusiana na kuongezeka kwa joto nchini Hispania. Taarifa hiyo inakuja wakati Hispania ikiwa imepata ongezeko...

Mafuriko yatikisa Ghana, yaua watu 12

ACCRA, Ghana WATU 12 wameripotiwa kupoteza maisha katika mafuriko yaliyotokea katika maeneo mbalimbali nchini Ghana, ukiwamo Mji Mkuu wa Accra. Mvua iliyonyesha ni ya kiwango cha...

Recent articles

spot_img