Na mwandishi wetu, Gazetini
Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, George Masaju, ameshauri Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) kuendelea kufanya ukaguzi...
TORONTO, Canada
NJE ya kazi ya muziki, rapa Drake ana dunia yake nyingine. Ni miongoni mwa 'walevi' wa kamari ya kubashiri matokeo ya michezo (kubeti).
Hivi...
KYIV, Ukraine
VIKOSI vya jeshi la Urusi vimetekeleza shambulizi la ndege zisizo na rubani nchini Ukraine na kusababisha vifo vya watu 13.
Mamlaka za Ukraine zimethibitisha...
MEXICO CITY, Mexico
FAINALI za Kombe la Dunia za mwaka huu (2026) zinaendelea kuchanja mbuga, huku baadhi ya timu zikiwa zimeshatinga hatua ya 16 Bora.
Baadhi...
TEHRAN, Iran
MAKAO Makuu ya Jeshi la Iran yamekuja na tamko zito, kwamba Marekani itaingia kwenye shida endapo itaendelea kuingilia udhibiti wa Mlango-Bahari wa Hormuz.
Kauli...
BEIRUT, Lebanon
WAZIRI wa Mambo ya Nje ya Syria, Asaad al-Shaibani, yuko nchini Lebanon, ambapo amesema wako tayari kukaa mwezani na wapiganaji wa Kundi la...
LONDON, Uingereza
KLABU ya Arsenal iko kwenye hatua nzuri ya kukamilisha usajili wa kipa aliyeondoka Leeds United baada ya kumaliza mkataba wake, Illan Meslier.
Kocha wa...
LONDON, Uingereza
NI nahodha wa West Ham United, Jarrod Bowen, ambaye si tu Manchester United, bali pia Liverpool na Chelsea nazo zinaimezea mate saini yake.
Mshambuliaji...
MIAMI, Marekani
KOCHA wa timu ya soka ya Taifa ya Ubelgiji, Rudi Garcia, amesema nahodha wake, Youri Tielemans, ndiye mchezaji aliyekuwa na mchango mkubwa katika...
TORONTO, Canada
MKONGWE wa soka la Liberia, George Weah, ambaye ni Mwafrika pekee kuwahi kubeba Ballon d'Or, amesema Kylian Mbappe ni bora kuliko Lamine Yamal.
Weah...