24.6 C
Dar es Salaam

Uncategorized

Jenerali wa jeshi Urusi auawa

MOSCOW, Urusi URUSI imepata pigo baada ya Jenerali wake wa jeshi kuuawa katika shambulio la bomu, kwa mujibu wa taarifa ya Serikali ya nchi hiyo. Taarifa...

Ugaidi wazidi kushika kasi duniani

Na mwandishi wetu, Gazetini VITENDO vya ugaidi vimeendelea kuwa tishio kwa usalama wa dunia, kwa mujibu wa Taasisi ya kimataifa ya Uchumi na Amani (IEP). Kwa...

Belarus yaachia wafungwa 123

MINSK, Belarus SERIKALI ya Belarus imetangaza kuwaachia huru wafungwa 123, akiwamo wanasiasa wa upinzani, ikiwa ni katika kutekeleza maagizo ya Marekani. Marekani iliiwekea vikwazo vya kiuchumi...

Kombe la Dunia 2026; Kundi I

Na mwandishi wetu, Gazetini KUMEKUCHA! Droo ya hatua ya makundi ya fainali za Kombe la Dunia ilichezeshwa nchini Marekani.Kwa mara ya kwanza, fainali hizo zitashirikisha...

Yanga, Azam FC zachekelea, Simba akifa kwa Mkapa

Na Winfrida Mtoi, Gazetini LIGI Kuu Tanzania Bara imeendelea leo Novemba 7, 2025 kwa michezo miwili kupigwa ambapo Yanga na Azam zimefanikiwa kuondoka na alama...

Miaka 14 bila Muammar Gaddafi; Walibya wamekipata walichokitaka?

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAKATI wananchi wa Libya walipoingia barabarani katika miji mbalimbali Februari, 2011, kilio chao kikubwa kilikuwa ni uhuru, ambao waliamini wanaukosa chini...

Kocha Tottenham alia na VAR

LONDON, Uingereza KOCHA wa Tottenham, Thomas Frank, amesema lilikuwa ni kosa kubwa kwa teknolojia ya VAR kuwapa penalti wapinzani wao, Newcastle United, katika mchezo wa...

Trump: Sitaki kuona Wasomali hapa Marekani

WASHINGTON DC, Marekani NI agizo la Rais wa Marekani, Donald Trump, akisema hataki kuona wahamiaji wa Somalia wakiingia na kuishi nchini kwake. Katika Mkutano wake...

MwanaFA awaita wadau kujitokeza kusapoti ushiriki wa wanawake michezoni

Na Winfrida Mtoi, Gazetini Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma 'MwanaFA' amewaomba wadau na wadhamini kujitokeza kusapoti ushiriki wa wanawake katika...

Miaka miwili ya vita: Israel imefanikiwa nini Gaza?

Na mwandishi wetu, GazetiniNI miaka miwili sasa tangu wapiganaji wa Hamas walipoishambulia Israel. Shambulizi hilo la Oktoba 7, mwaka 2023 liligharimu maisha ya watu...

Onana harudi Man United

MANCHESTER, UingerezaKLABU ya Trabzonspor ya Uturuki imewasiliana na wakala wa Andre Onana na kumwambia inataka kumsajili moja kwa moja kipa huyo wa Manchester United.Onana...

Kane akanusha kurudi England, ataka mkataba Bayern

MUNICH, UjerumaniMPACHIKAJI mabao wa Bayern Munich, Harry Kane, amesema si kweli kwamba atarudi Ligi Kuu ya England, na badala yake anataka kusaini mkataba mpya...

Recent articles

spot_img