Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Dk. Mustapher Siyani, amepongeza ushirikiano unaoendelea baina ya Mahakama na Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), akisema ni muhimu katika kufanikisha utekelezaji wa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amelitaka Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala nchini kujikita katika tafiti za dawa za tiba asili na mbadala na kuzitumia tafiti hizo ili zilete mchango kwenye sekta...
*Ni kutoka kwa wadau, mwenyewe avunja ukimya
Na Mwandishi Wetu, Gazetini - Rorya
KATIKA hali ya kushangaza Mkuu wa Wilaya ya Rorya mkoani Mara, Juma Chikoka...
*Awataka kutumia lugha rahisi ziwafikie walengwa
Na Nadhifa Omary, Morogoro
SERIKALI imewataka wana sayansi nchini na wadau wa afya kufanya tafiti zitakazosaidia kuleta suluhisho juu ya...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameahidi Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwamba Serikali itaendelea...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
MAONESHO ya 47 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam, yanayofanyika katika viwanja vya SabaSaba, yamekuwa ni fursa adhimu kwa wadau...