Ads: info@gazetini.co.tz |
25.2 C
Dar es Salaam

Uchumi

Migodi mikubwa nchini yatakiwa kuwezesha wachimbaji wadogo

Na mwandishi wetu, Gazetini Wito umetolewa kwa makampuni makubwa ya uchimbaji madini nchini kuwekeza katika kuwawezesha wachimbaji wadogo katika nyanja mbalimbali ikiwemo teknolojia za kisasa...

Serikali yazindua mpango mahsusi wa umeme jua visiwani

-Kuchochea uchumi wa buluu Na mwandishi wetu, Gazetini SERIKALI imezindua mpango mahsusi wa kusambaza mifumo ya umeme jua katika visiwa 120 nchini, hatua inayolenga kuchochea Uchumi...

TRA yasifu matumizi ya kodi katika mradi wa Bwawa la Julius Nyerere

Na mwandishi wetu, Gazetini MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesifu matumizi sahihi ya fedha za kodi za Watanzania katika Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere...

Ndejembi: Urambo, Kaliua zipo tayari kwa uwekezaji wa viwanda

Na mwandishi wetu, Gazetini WAZIRI wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amesema wilaya za Urambo na Kaliua mkoani Tabora zipo tayari kupokea uwekezaji, hususan wa viwanda, kutokana...

Visual| Miamba ya Benki Tanzania: NMB vs CRDB

Na mwandishi wetu, Gazetini BENKI za NMB na CRDB zimeendelea kuthibitisha ubora na uimara wao katika sekta ya fedha nchini baada ya kila moja kutangaza...

Elon Musk avunja rekodi: Awa mtu wa kwanza duniani kumiliki zaidi ya dola bilioni 800

NEW YORK, Marekani Bilionea maarufu duniani, Elon Musk, ameweka historia mpya baada ya kuwa mtu wa kwanza kumiliki utajiri unaozidi dola bilioni 800, kufuatia hatua...

Serikali yaendelea na maandalizi ujenzi reli ya Kusini

Na Mwandishi Wetu, Gazetini SERIKALI kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) imekamilisha kazi ya upembuzi yakinifu na usanifu wa awali kwa ajili ya ujenzi...

Dira ya madini 2030: Mwelekeo wa utafiti na ukuaji wa mapato

Na mwandishi Wetu, Gazetini SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaendelea kuchukua hatua madhubuti katika kuimarisha sekta ya madini kama nguzo muhimu ya ukuaji...

Tanzania yajipanga kuwa kitovu cha uwekezaji wa madini Afrika

Na mwandishi wetu, Gazetini KATIKA kuhakikisha kuwa Tanzania inaendelea kujiimarisha kama kitovu cha uwekezaji wa kimkakati barani Afrika, Serikali kupitia Wizara ya Madini imekaribisha kampuni...

PMM Estates (2001) Ltd: Nguzo ya huduma za bandari kavu na usafirishaji Tanzania

Na mwandishi wetu, Gazetini KWA zaidi ya miongo miwili sasa, kampuni ya PMM Estates (2001) Limited imeendelea kujijengea heshima kama moja ya taasisi muhimu katika...

India inavyochangamkia nafasi za ajira Urusi

NEW DELHI, India UHABA wa wafanyakazi unaoikumba Urusi kwa sasa umegeuka fursa kwa raia wa India, ambao sasa wanamimilika kwa wingi nchini humo.Raia wa India...

Visual| Makusanyo Sekta ya Madini wafikia Trilioni 1.07

Na mwandishi wetu, Gazetini WIZARA ya Madini imetangaza mafanikio makubwa katika utekelezaji wa ahadi na maelekezo ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, ndani ya siku...

Recent articles