Na mwandishi wetu, Gazetini
PIKIPIKI ni chombo cha matairi matau kilichojizolea umaarufu mkubwa katika sekta ya usafirishaji.
Wengi wanapoziita 'bodaboda' hulenga pikipiki za biashara, ingawa msingi...
LONDON, Uingereza
Leighton ndiye anayewauzia magari mastaa wengi wa klabu. Miongoni mwao wachezaji aliochota fedha zao kwa kuwauzia 'mandinga' ya kifahari ni Harry Kane, John...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MAISHA katika miji yote barani Afrika yanatofautiana, hiyo ikitokana na gharama za maisha, ikiwamo uwezo wa watu wake kufanya manunuzi.
Haiishii hapo....
Na mwandishi wetu, Gazetini
VENEZUELA inaendelea kushika nafasi ya kwanza duniani kwa utajiri wa akiba ya rasilimali ya mafuta, licha ya changamoto kubwa za kiuchumi...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KWA mujibu wa Jarida maarufu la Forbes, mfanyabiashara wa Marekani, Elon Musk, ndiye binadamu mwenye fedha nyingi zaidi duniani. Utajiri wake...
Riyadh, Saudi Arabia
NAIBU Waziri wa Madini, Dk. Steven Kiruswa, amesema Tanzania imetambua shughuli za uongezaji thamani madini kama nguzo muhimu ya kuleta maendeleo endelevu...
Na mwandishi wetu, Gazetini
NAIBU Waziri wa Nishati, Salome Makamba, amesema Mradi wa Umeme wa Jua unaotekelezwa Kishapu, mkoani Shinyanga, uko katika hatua za mwisho...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu, amewataka wamiliki wa viwanda na maeneo mengine ya kazi...
Na mwandishi wetu, Gazetini
UTAFITI wa Deutsche Bank umefuatilia maisha ya miji 69 duniani na kubaini tofauti iliyopo katika mishahara wanayolipwa wafanyakazi kila mwezi. Aidha,...
Na mwandishi wetu, Gazetini
Mabadiliko makubwa yanayoendelea ndani ya sekta ya nishati yanaanza kuibadili sura ya Jiji la Dar es Salaam, huku Serikali ikithibitisha kuwa...