Ads: info@gazetini.co.tz |
21.6 C
Dar es Salaam

Michezo

Wakala wa Bale aingia matatani

LONDON, EnglandWAKALA wa soka maarufu, Jonathan Barnett, amefunguliwa mashitaka akituhumiwa kwa makosa ya udhalilishaji wa kijinsia.Barnett (75), ambaye aliwahi kuwasimamia mastaa Gareth Bale na...

Wagombea  urais watano TFF wapigwa chini abaki  Karia 

Na Mwandishi Wetu Kamati ya Uchaguzi ya TFF imewang'oa wagombea watano wa nafasi ya Urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na kubaki na jina...

Salah akatisha likizo kisa Jota

MERSEYSIDE, EnglandMSHAMBULIAJI wa Liverpool, Mohamed Salah, amelazimika kukatiza likizo na kurejea Uingereza kutokana na kifo cha mchezaji mwenzake wa klabu hiyo, Diogo Jota.Kwa mujibu...

Staa Arsenal kumfuata Ronaldo

RIYADH, Saudi ArabiaMATAJIRI wa Al-Nassr ya Saudi Arabia wanaiwinda saini ya mshambuliaji wa kiwango cha juu katika kikosi cha Arsenal, Gabriel Martinelli.Mpango wa Al-Nassr...

Jota, kaka yake wafariki ajali ya gari

MERSEYSIDE, EnglandMSHAMBULIAJI wa Liverpool, Diogo Jota, amefariki katika ajali ya gari. Amepoteza maisha akiwa na umri wa miaka 28.Katika ajali hiyo iliyotokea leo katika...

PSG wajitosa kwa Rodrygo

PARIS, UfaransaVIGOGO wa Ligue 1, PSG, wameingia rasmi katika mBio za kuifukuzia saini ya mshambuliaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil,...

Hazard amshangaa Giroud

LILLE, UfaransaSTAA wa zamani wa Chelsea, Eden Hazard, ameeleza kushangazwa na namna Olivier Giroud anavyoendelea kucheza kwa kiwango cha juu, licha ya umri wake...

Guardiola kuchukua kipa Barca

MANCHESTER, EnglandKOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola, amewataka mabosi wake kuhakikisha wanainasa saini ya mlinda mlango wa Barcelona, Marc-Andre ter Stegen.Man City, baada ya...

Sterling kutimkia Saudia?

LONDON, EnglandKLABU za Ligi Kuu ya Saudi Arabia zinapigana vikumbo kuiwania saini ya winga wa Chelsea, Raheem Sterling.Sterling aliyecheza kwa mkopo Arsenal, ameshaambiwa wazi...

Pirates wamtengea Kanoute bil. 1.4/-

PRETORIA, Afrika KusiniVIGOGO wa Ligi Kuu ya Afrika Kusini, Orlando Pirates, wanaitaka saini ya kiungo wa zamani wa Simba, Sadio Kanoute.Kwa mujibu wa kile...

Rais Mwinyi aipongeza Yanga, aizawadia  milioni 100

Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameizawadia Klabu ya Yanga  Sh 100 milioni  kwa kutambua ushindi na...

Ramos: Nileteeni Madrid robo fainali

MEXICO CITY, Mexico NAHODHA wa zamani wa Real Madrid, Sergio Ramos, amesema ni ndoto yake kukutana na timu hiyo katika hatua ya robo fainali ya...

Recent articles