Na Hassan Mwasha, GazetiniSIKU chache tu zilizopita, Dimitar Pentev alitua kwa mara ya kwanza katika ardhi ya Tanzania akiwa na kikosi cha Gaborone United...
MANCHESTER, UingerezaKIUNGO wa pembeni wa Manchester City, Savinho, amesaini mkataba mpya wa miaka miwili klabuni hapo.Savinho (21), huu ni msimu wake wa pili tangu...
MERSEYSIDE, UingerezaLIVERPOOL itamkosa kwa wiki sita mlinda mlango wake raia wa Brazil, Alisson, baada ya majeraha aliyopata katika mchezo dhidi ya Galatasaray.Ni kwa maana...
Na Hassan Mwasha, GazetiniBAADA ya suluhu katika mchezo wao wa leo dhidi ya Mbeya City, kocha wa Yanga, Romain Folz, ameeleza kilichowanyima ushindi katika...
LONDON, UingerezaBEKI wa kati wa Arsenal, William Saliba, amefichua kuwa amesaini mkataba mpya wa miaka mitano klabuni hapo.Nyota huyo raia wa Ufaransa amesema ameongeza...
Na Winfrida Mtoi, Gazetini
Watanzania wamehimizwa kushiriki na kujifunza mchezo wa kuogelea bila kujali umri ili kulinda afya na kutengeneza mahusiano na watu tofauti ikiwamo...
MANCHESTER, UingerezaKOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim, amesema tetesi za kufungashiwa virago klabuni hapo hazimuumizi kichwa kwa sasa.Amorim amekuja na kauli hiyo baada ya...
LAGOS, NigeriaSUPASTAA wa muziki wa Afrobeats, Burna Boy, 'amewapotezea' Cristiano Ronaldo na Lionel Messi na kumtaja Jay Jay Okocha kuwa ndiye mwanasoka bora wa...
MONROVIA, LiberiaRAIS wa zamani wa Liberia, George Weah, amekumbana na ukosolewaji mkali kutoka kwa mashabiki baada ya kauli yake ya hivi karibuni.Weah aliyewahi kucheza...
CATALUNYA, HispaniaKOCHA wa Barcelona, Hansi Flick, amesema staa wake, Lamine Yamal, atakuwa bora zaidi kutokana na hasira za kuikosa Ballon d'Or ya mwaka huu.Yamal...
Na Winfrida Mtoi, Gazetini
KLABU ya Simba imewatangazia wanachama na mashabiki wa timu hiyo namba maalumu za kuchangia fedha kwa ajili ya kusaidia kulipa faini...
Na Mwandishi Wetu
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umekiri kuwa vita ya kudhibiti jezi feki ni ngumu pamoja na jitihada wanazofanya na kutumia mbinu nyingi...