Ads: info@gazetini.co.tz |
27.2 C
Dar es Salaam

Michezo

Usyk; mbabe wa ulingo, kiboko ya mabondia wa Uingereza

LOS ANGELES, MarekaniSTAA wa ngumi za uzito wa juu, Oleksandr Usyk, ndiye bingwa wa dunia baada ya kumdunda kwa 'KO' ya raundi ya tano...

Son alivyoacha ufalme wake Tottenham, EPL

LONDON, UingerezaUKILIWEKA kando jina la Harry Kane, Son Heung-min anaweza kuwa mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea katika klabu ya Tottenham kwa miaka ya hivi...

Diaz na mastaa waliotimka EPL kwa dau nono

LONDON, UingerezaHIVI karibuni, Liverpool walivuna kitita cha Pauni milioni 65.5 kwa kumpiga bei mshambuliaji wake, Luis Diaz, na kuingia kwenye moja ya rekodi za...

Partey aibukia La Liga

LONDON, UingerezaBAADA ya kuachana na Arsenal, kiungo wa kimataifa wa Ghana, Thomas Partey, amemalizana na Villarreal ya Ligi Kuu ya Hispania (La Liga).Partey aliyewahi...

Makocha hawa presha tupu EPL

LONDON, UingerezaNI takribani wiki mbili pekee zimebaki kabla ya msimu mpya wa Ligi Kuu ya England (EPL) kuanza.Msimu uliopita, makocha nane walifungashiwa virago, wa...

Maswali 6 yanayosubiri majibu EPL 2025-26

LONDON, England MSIMU ujao wa 2025-26 uko njiani, ukitarajiwa kuanza kutimua vumbi mwezi ujao. Ni Ligi Kuu ya England (EPL), michuano ya soka inayotajwa kufuatiliwa...

Victor Gyokeres kuibeba Arsenal msimu ujao?

LONDON, England KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta, aliingia sokoni majira haya ya kiangazi akihitaji straika. Msako wake umeinasa saini ya mshambuliaji wa kimataifa wa Sweden,...

Mnyama Simba anaendelea kuweka hadharani vifaa vyake vipya

Na Mwandishi Wetu Klabu ya Simba leo Julai 30, 2025, imemtambulisha Alassane Kante raia wa Senegal , akitokea CA Bizertin ya Tunisia. Kiungo huyo mkabaji mwenye...

Rais wa Yanga akatwa uteuzi Jimbo la Kigamboni, Jemedali, Shafii Dauda mambo mazuri

Na Mwandishi Wetu Rais wa klabu ya Yanga, Injinia Hersi Saidi ameshindwa kupenya katika  uteuzi wa awali wa wagombea ubunge  Jimbo la Kigamboni kupitia Chama...

‘Dar Boxing Derby’ unaambiwa ulingo utatitia Leders Club kesho

Na Mwandishi Wetu Hatimaye ile siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na wadau, wapenzi wa ngumi imefika ambapo kesho yatapigwa mapambano ya ngumi za kulipwa ‘Dar...

Taifa Stars yawekewa bilioni moja CHAN

Na Mwandishi Wetu  Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, imeahidiwa kiasi cha fedha  shilingi bilioni moja  kama zawadi, ikifanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano ya...

Firmino aondoka Saudia, aibukia Qatar

DOHA, QatarMABINGWA wa Ligi Kuu ya Qatar, Al Sadd, wamemsajili na kumpa mkataba wa miaka miwii mshambuliaji wa zamani wa Liverpool, Roberto Firmino.Nyota huyo...

Recent articles