Ads: info@gazetini.co.tz |
31.2 C
Dar es Salaam

Michezo

Modric arudi mzigoni, agoma kustaafu

LONDON, Uingereza KIUNGO mkongwe, Luka Modric, ataendelea kuitumikia timu yake ya Taifa ya Croatia, licha ya umri wake mkubwa wa miaka 41. Chama cha Soka cha...

Kiungo ateuliwa kocha mpya Algeria

ALGIERS, Algeria KIUNGO wa zamani wa Rangers ya Ligi Kuu ya Scotland, Brahim Hemdani, ameteuliwa kuwa kocha mpya wa timu ya soka ya Taifa ya...

Mashabiki Fulham wazomea wachezaji

LONDON, Uingereza UZALENDO uliwashinda mashabiki wa Fulham na kuamua kuwazomea wachezaji wao baada ya timu hiyo kufungwa mabao 3-2 na Crystal Palace jana Septemba 5,...

Sikia hii ya Bayern, noma sana!

MUNICH, Ujerumani KWA mara ya kwanza baada ya mechi 59, Bayern Munich wamelazimishwa kumaliza dakika 90 bila kupata bao. Ni katika mchezo wa Bundesliga uliochezwa jana...

Simeone afunguka kilichoiua Atletico Madrid

MADRID, Hispania KOCHA wa Atletico Madrid, Diego Simeone, amesema wapinzani wao, Athletic Bilbao, walikuwa wazuri kwenye ulinzi na ndiyo maana ikawa ngumu kwa vijana wake...

Maresca aitangazia ‘kiama’ Arsenal

LONDON, Uingereza KOCHA wa Manchester City, Enzo Maresca, amesema kwa sasa wana kikosi chenye uwezo wa kushindana na Arsenal katika mbio za kuwania taji la...

Haaland awafunika Ronaldo, Mbappe

MANCHESTER, Uingereza BAADA ya kuifungia Manchester City bao pekee katika mchezo dhidi ya Coventry City, Erling Haaland amefikisha mabao 300 katika maisha yake ya soka...

Simba kuzima moto, rekodi ya Mighty Wanderers?

Na mwandishi wetu, Gazetini SIMBA iko ugenini mjini Blantyre, Malawi, ambako kesho Septemba 6, 2026, itaumana na Mighty Wanderers katika mchezo wa hatua ya awali...

Watoto wa wanasoka wanaofuata nyayo za wazee zao

LONDON, Uingereza MAJI hufuata mkondo! Ni msemo maarufu na uliojidhirisha wazi katika ulimwengu wa soka kwa baadhi ya wanasoka waliostaafu kurithisha vipaji kwa watoto wao. Kwa...

City yahamishia silaha kwa ‘mido’ Atletico

MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Manchester City imeripotiwa kuanza mapema mikakati ya kuinasa saini ya mshambuliaji wa Atletico Madrid, Alex Baena. Kwa mujibu wa ripoti, usajili wa...

Bissouma bado kidogo tu atue Chelsea

LONDON, Uingereza CHELSEA ilikuwa na nafasi ya kumsajili Yves Bissouma baada ya kiungo wake, Enzo Fernandez, kutimkia kwa washindano wao wa Ligi Kuu ya England,...

Andy Ruiz arejea kwa kichapo ulingoni

LOS ANGELES, Marekani ALIYEWAHI kuwa bingwa wa dunia kwa ngumi za uzito wa juu, Andy Ruiz Jr, amepoteza pambano lake la kwanza tangu alipopona majeraha. Andy...

Recent articles