MADRID, Hispania
KOCHA wa Real Betis, Manuel Pellegrini, hajafurahishwa na kauli ya Jose Mourinho baada ya mchezo wa La Liga wa jana Septemba 4, 2026.
Baada...
CATALUNYA, Hispania
MSHAMBULIAJI wa Barcelona, Lamine Yamal, amekosekana katika mazoezi ya mwisho ya timu hiyo kuelekea mchezo wao dhidi ya Valencia.
Timu hizo zitakwaana kesho Septemba...
ROMA, Italia
ZIPO taarifa zinazodai kuwa klabu ya AS Roma iko mbioni kumchukua beki aliyeachana na Bayern Munich, Raphael Guerreiro.
Kwa mujibu wa ripoti, kocha wa...
PARIS, Ufaransa
VIGOGO wa soka la Ufaransa, PSG, hawajaonja ushindi katika mechi zote tatu za msimu huu wa Ligi Kuu ya Ufaransa .
Wakiwa nyumbani jana...
Na mwandishi wetu, Gazetini
YANGA watashuka dimbani katika ardhi ya ugenini mjini Gaborone, Botswana, kesho Septemba 5, 2026, kwa mchezo wa hatua ya awali ya...
MANCHESTER, Uingereza
GUMZO kubwa wakati wa usajili wa dirisha kubwa barani Ulaya uliofungwa Septemba 1, 2026, ni uhamisho wa kiungo Enzo Fernandez kwenda Manchester City...
LONDON, Uingereza
MANCHESTER City imevunja rekodi yake ya usajili majira haya ya kiangazi kwa kumchukua kiungo Enzo Fernandez kwa ada ya Pauni milioni 125. Nyota...
LONDON, Uingereza
UMESHAWAHI kusikia msemo maarufu katika soka usemao ‘usajili ni kamari?’ Si kila mchezaji anayesajiliwa, iwe hata kwa pesa nyingi, ataweza kung’ara katika klabu...
LONDON, Uingereza
DIRISHA kubwa la usajili wa kiangazi Ligi Kuu ya England lilifungwa Septemba 1, 2026, huku kiungo aliyetoka Chelsea na kutua Manchester City,...
LONDON, Uingereza
KLABU za Ligi Kuu ya England zilitumia kiasi cha Pauni bilioni 3.46 katika soko la usajili wa majira haya ya kiangazi lililofungwa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MSIMU huu wa 2026-27 wa michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika utaanza wikiendi hii, Septemba 4-6, 2026, ambapo zitachezwa mechi za...
LONDON, Uingereza
HATIMAYE usajili wa majira ya kiangazi kwa mwaka 2026 ulifungwa rasmi juzi, Septemba 1, huku Enzo Fernandez aliyeondoka Chelsea akiwa ndiye mchezaji ghali...