Ads: info@gazetini.co.tz |
29.2 C
Dar es Salaam

Michezo

Carrick afunguka kufukuzwa Man United

MANCHESTER, Uingereza KOCHA wa Manchester United, Michael Carrick, amefunguka juu ya tetesi zinazodai kuwa mabosi wa klabu hiyo watamfungashia virago. Taarifa zilizopo, ambazo hata hivyo hazijathibitishwa...

Marcelo: Ronaldo noma kuliko Messi

RIO, Brazil MKONGWE wa soka la Brazil, Marcelo, amemchagua tena Cristiano Ronaldo alipoulizwa ni nani mkali wa muda wote kati ya Mreno huyo na Lionel...

Mbappe awataja ‘CR7’, Zidane

MADRID, Hispania STAA wa Real Madrid, Kylian Mbappe, amesema Cristiano Ronaldo 'CR7', Zinedine Zidane na Ronaldo Nazario ni wachezaji ambao angeweza kuwasajili hata leo hii. Nyota...

Arteta hajui hatima yake Arsenal

LONDON, Uingereza KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta, amedai kuwa hajui lolote kuhusu kusaini mkataba mpya klabuni hapo. Arteta raia wa Hispania aliyewahi kucheza eneo la kiungo...

De Jong fiti kuivaa Getafe

CATALUNYA, Hispania KOCHA wa Barcelona, Hansi Flick, amefichua kuwa kiungo wake, Frenkie de Jong, atakuwa fiti wiki chache zijazo. Flick amezungumzia hayo kuelekea mchezo wao wa...

Wawili tu Afrika waingia Ballon d’Or ya Wanawake

LONDON, Uingereza NI nyota wawili pekee kutoka Afrika walioingia 'Top 30' ya kinyang'anyiro cha kuiwania tuzo ya mwaka huu ya Ballon d'Or kwa upande wa...

Vozinha wa Cape Verde awania Ballon d’Or

PRAIA, Cape Verde KIPA wa timu ya soka ya Taifa ya Cape Verde, Vozinha, ametajwa kwenye orodha ya wanaoiwania tuzo ya mwaka huu ya Ballon...

Baada ya sare, Carrick alia na wachezaji

MANCHESTER, Uingereza KOCHA wa Manchester United, Michael Carrick, amesema kiwango kibovu kilichooneshwa na wachezaji wake kilichangia matokeo ya sare ya mabao 2-2 dhidi ya Everton...

Mbappe ajitabiria Ballon d’Or

MADRID, Hispania MSHAMBULIAJI wa Real Madrid, Kylian Mbappe, anaamini huu ni mwaka wake wa kuitwaa kwa mara ya kwanza tuzo maarufu ya Ballon d'Or. Hafla ya...

Simba yatamba ugenini, Wamalawi hawaamini!

Na mwandishi wetu, Gazetini SIMBA imeuanza vizuri msimu huu wa Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuinyuka Mighty Wanderers bao 1-0 katika mchezo uliochezwa katika...

Geita kufuta ‘uteja’ kwa Yanga?

Na Hassan Mwasha, Gazetini GEITA Gold ina kibarua kigumu mbele ya Yanga katika mchezo ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu wa 2026-27, na...

Modric arudi mzigoni, agoma kustaafu

LONDON, Uingereza KIUNGO mkongwe, Luka Modric, ataendelea kuitumikia timu yake ya Taifa ya Croatia, licha ya umri wake mkubwa wa miaka 41. Chama cha Soka cha...

Recent articles