Ads: info@gazetini.co.tz |
22.7 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Fei Toto apigwa bao ufungaji bora

Na Hassan Mwasha, Gazetini NI rasmi sasa kiungo wa Azam, Feisal Salum 'Fei Toto' amekikosa kiatu cha mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara msimu wa...

Samia aisifu TPA kwa kujitegemea, yakabidhi gawio la Sh bilioni 205.53

Na mwandishi wetu, Gazetini Rais Samia Suluhu Hassan ameisifu Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kufikia kiwango cha kujitegemea kifedha, akisema taasisi hiyo...

Kocha Ujerumani agoma kujiuzulu

MUNICH, Ujerumani BAADA ya timu ya soka ya Taifa ya Ujerumani kutolewa kwenye michuano ya Kombe la Dunia, kocha wake, Julian Nagelsmann, amesema hana mpango...

Kombe la Dunia 2026: Canada yaingia anga za Morocco

MIAMI, Marekani WENYEJI wa fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu, Canada, ambao wanashirikiana na Mexico na Marekani, watakwana na Morocco katika hatua inayofuata...

Ancelotti aonywa Brazil ikitinga 16 Bora

RIO, Brazil LICHA ya timu ya soka ya Taifa ya Brazil kutinga hatua ya 16 Bora ya fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu...

Kocha mwingine aachia ngazi Kombe la Dunia

MIAMI, Marekani MIROSLAV Koubek wa timu ya soka ya Taifa ya Czech amekuwa kocha wa tatu kupoteza kibarua msimu huu wa fainali za Kombe la...

Mambo yasiwe mengi! Mastaa hawa walifunga ndoa kimyakimya

LONDON, Uingereza KWA fedha nyingi na umaarufu mkubwa walionao, wangeweza kuifanya siku ya ndoa zao kufahamika duniani kote. Hata hivyo, waliona mambo yasiwe mengi. Wakaamua kufunga...

Song bado anaishi na rekodi yake Kombe la Dunia

YOUNDE, Cameroon TIMU ya soka ya Taifa ya Cameroon haikufuzu fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu (2026) lakini lejendari wake, Rigobert Song, ana...

Usichokijua kuhusu mvutano wa tajiri Elon Musk na ‘ex’ wake

LOS ANGELES, Marekani BINADAMU wa kwanza kuwa trilionea, Elon Musk, alisherehekea kutimiza umri wa miaka 56 jana Juni 28, 2026. Mbali ya kusherehekea kutimiza umri huo,...

Ligi Kuu Bara 2025-26 kufungwa kwa staili hii

Na Hassan Mwasha, Gazetini MSIMU huu wa 2025-26 wa Ligi Kuu Bara utafikia ukomo wake kesho Juni 30,2026, kwa timu zote 16 kushuka dimbani. Kwamba viwanja...

Nigeria ilivyopuuzia onyo la IMF kuhusu madeni

LAGOS, Nigeria LICHA ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kuipa onyo, Serikali ya Nigeria imepiga hatua moja mbele katika mpango wake wa kukopa kiasi...

VAR ilivyozua utata Kombe la Dunia 2026

MIAMI, Marekani TEKNOLOJIA ya kumsaidia mwamuzi kwa marudio ya video (VAR) imeibua sintofahamu kwa baadhi ya maamuzi yake wakati huu wa fainali za Kombe la...

Recent articles

spot_img