Ads: info@gazetini.co.tz |
23.8 C
Dar es Salaam

Author: Gazetini Editor

Rais Mwinyi azindua Baraza la Wawakilishi, ataja mwelekeo wa Serikali yake

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amezindua rasmi Baraza la 11 la Wawakilishi Zanzibar,...

Nana Miriam awaonjesha mashabiki ‘C’est Jesus’

Na MWANDISHI WETU MWIMBAJI anayekuja kwa kasi kwenye muziki wa Injili nchini Kongo, Nana Miriam ameachia kionjo cha wimbo mpya, C'est Jésus, alioshirikiana na Sylvain...

Rais Samia ateua wabunge sita

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Rais Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa wabunge sita katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Taarifa ya uteuzi wa wabunge...

Zaidi ya washindi 400 wazawadiwa kupitia kampeni ya ‘Tamba na Bonasi’

Na Iman Nathaniel, Gazetini Zaidi ya washindi 400 wamejishindia zawadi mbalimbali kupitia kampeni inayoendeshwa HaloPesa inayoitwa Tamba na Bonasi'. Kupitia kampeni hiyo wateja wa HaloPesa wanapata...

Viongozi wa dini waendelea kihimiza amani uchaguzi mkuu

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam VIONGOZI wa dini nchini wameendelea kuhimiza umuhimu wa kudumisha amani, umoja na uzalendo kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29,...

Simba nayo yaenda hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika

Na Winfrida Mtoi Mabao ya ugenini yameibeba Simba kwenda makundi Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya leo kulazimishwa suluhu na Nsingizini kwenye Uwanja wa...

Yanga yatinga makundi CAFCL kibabe

Na Winfrida Mtoi Yanga imefanikiwa kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikipindua meza kwa kuifunga Silver Strikers mabao 2-0 kwenye Uwanja wa...

Wasiojulikana choma moto nyumba ya Polisi Songwe

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WATU wasiojulikana wamechoma moto nyumba ya Polisi iliyopo Kata ya Chitete, Kijiji cha Ikumbilo, Wilaya ya Ileje mkoani Songwe, na kuteketeza...

SGR yapata ajali, TRC yataja chanzo

Na Mwandishi Wetu Treni ya Mwendokasi (SGR) imeacha njia yake na kupata ajali katika eneo la Ruvu Mkoani Pwani asubuhi ya leo Oktoba 23,2025 wakati...

Zulfa Macho atinga fainali ngumi Zone 3 Afrika

Na Mwandishi Wetu Bondia Mtanzania Zulfa Macho amemchapa kwa pointi Bisambu Deborah wa DR Congo katika pambano la nusu fainali ya mashindano ya ngumi ya...

Simba kuwania tuzo ya Klabu Bora Afrika, Kapombe mchezaji bora

Na Mwandishi Wetu Klabu ya Simba imeteuliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kuwania tuzo ya Klabu Bora Afrika (Club of the Year) kwa mwaka...

Simba yaanza jeuri ya Kimataifa

Na Winfrida Mtoi Ushindi wa mabao 3-0 ugenini dhidi ya Nsingizini Hotspurs katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, klabu ya Simba imetamba kuwa ni kati ya...

Recent articles

spot_img