RIO, Brazil
MKONGWE wa soka la Brazil, Marcelo, amemchagua tena Cristiano Ronaldo alipoulizwa ni nani mkali wa muda wote kati ya Mreno huyo na Lionel...
MADRID, Hispania
STAA wa Real Madrid, Kylian Mbappe, amesema Cristiano Ronaldo 'CR7', Zinedine Zidane na Ronaldo Nazario ni wachezaji ambao angeweza kuwasajili hata leo hii.
Nyota...
LONDON, Uingereza
KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta, amedai kuwa hajui lolote kuhusu kusaini mkataba mpya klabuni hapo.
Arteta raia wa Hispania aliyewahi kucheza eneo la kiungo...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
KATIKA miaka ya 1990, muziki wa mnanda, maarufu pia kwa jina la mchiriku, uliwahi kujizolea umaarufu mkubwa hapa nchini, hasa katika...
Na Hassan Mwasha, Gazeini
KAMA kuna kosa kubwa analoweza kulifanya binadamu katika uso wa dunia ni kujipumbaza kuhusu jana yake. Kusahau kila kitu. Kufuta kumbukumbu...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
WAKATI mwingine, malalamiko ya kuchelewa kuunganishiwa huduma ya umeme kutoka TANESCO yanaweza kusababishwa na uelewa mdogo wa wateja juu ya muda...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
WAKATI mwingine, kama inavyoanishwa katika Mkataba wa Huduma kwa Wataje, TANESCO inatoa nafasi wa wananchi wenye uchumi mdogo kumudu gharama za...
Na mwandishi wetu, Gazetini
HISTORIA ya siasa za Afrika itaendelea kumkumbuka kama kielelezo cha viongozi wachache waliowahi kutumia vibaya nafasi zao.
Alikuwa rais wa Liberia kuanzia...
CATALUNYA, Hispania
KOCHA wa Barcelona, Hansi Flick, amefichua kuwa kiungo wake, Frenkie de Jong, atakuwa fiti wiki chache zijazo.
Flick amezungumzia hayo kuelekea mchezo wao wa...
LONDON, Uingereza
NI nyota wawili pekee kutoka Afrika walioingia 'Top 30' ya kinyang'anyiro cha kuiwania tuzo ya mwaka huu ya Ballon d'Or kwa upande wa...