Ads: info@gazetini.co.tz |
23.2 C
Dar es Salaam

Author: Gazetini Editor

Umeme kufika vitongoji vyote nchini mwaka 2030

Na mwandishi wetu, Gazetini USAMBAZAJi wa umeme unaotekelezwa na Wakala wa Nishati nchini (REA) umeendelea kubadilisha maisha ya wananchi, wakiwamo wa vitongojini. Mpango uliopo ni kuhakikisha...

Umeme kutoka Chalinze hadi Dodoma sasa asilimia 99

Na mwandishi wetu, Gazetini SASA wananchi wa Dodoma watapata umeme unaozalishwa katika Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) kupitia njia ya usafirishaji wa nishati hiyo kutoka...

Ukweli uliojificha kuhusu uwezo wa kijeshi wa Iran

TEHRAN, Iran JESHI la Mapinduzi ya Kiislam la Iran (IRGC) limejipanga kujibu mapigo kwa Marekani iliyotangaza 'kiama cha uchumi' kwa nchi hiyo ya Mashariki ya...

Maxi Nzengeli ndiye ‘x-factor’ Yanga

Na Hassan Mwasha, Gazetini KWA miaka mitatu mfululizo tangu aliposajiliwa mwaka 2023, amekuwa kwenye kiwango kile kile kutoka mechi moja hadi nyingine. Na inapotokea siku...

Salah kazi imeanza, atupia mawili Uturuki

ISTANBUL, Uturuki MSHAMBULIAJI wa zamani wa Liverpool, Mohamed Salah, amefunga mabao mawili katika mechi yake ya kwanza aliyoingia 'first eleven' akiwa na timu yake mpya...

ANC imepoteza ushawishi siasa za Afrika Kusini?

Na mwandishi wetu, Gazetini VURUGU na chuki dhidi ya wageni zina uhusiano wa moja kwa moja na maisha magumu walionao wananchi wa Afrika Kusini katika...

Chama tawala kilichogeukia siasa za upinzani

Na mwandishi wetu, Gazetini WAKATI fulani, Peoples Democratic Party (PDP) kilikuwa Chama tawala nchini Nigeria. Chama kikongwe kilichoasisiwa mwaka 1998. Kwa miaka 16, kabla ya kuangushwa...

Rais Bola Tinubu kurudi madarakani?

LAGOS, Nigeria KAMPENI kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Januari, 2027, zilianza wiki hii nchini Nigeria. Rais aliyeingia madarakani mwaka 2023, Bola Tinubu, anagombea muhula wake wa...

Umiliki wa silaha kwa raia tatizo sugu Thailand

Na mwandishi wetu, Gazetini SIKU tatu tu baada ya mwanafunzi mwenye umri wa miaka 14 kuua wenzake nane kwa kuwamiminia risasi, lilitokea tukio jingine lenye...

Fernandes acharuka kisa kipigo

MANCHESTER, Uingereza NAHODHA wa Manchester United, Bruno Fernandes, amewajia juu wachezaji wenzake akisema kupoteza hovyo mipira kulisababisha timu hiyo kufungwa mabao 2-0 na Hull City. Timu...

Messi atozwa faini kwa kumpiga mtu kofi

MIAMI, Marekani SUPASTAA wa Inter Miami, Lionel Messi, ametozwa faini kwa kosa la kumpiga kofi nyota wa Philadelphia Union, Quinn Sullivan. Mbali na Messi, Ian Fray...

Infantino aambiwa akae mbali na watoto

NYON, Uswis RAIS wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Gianni Infantino, ametakiwa kutokuhudhuria michuano ya soka ya U-14 inayofanyika nchini Jamhuri ya Dominica. Ushauri huo...

Recent articles

spot_img