Na Mwandishi Wetu
WAANDISHI wa Habari, Wahariri, ndugu na jamaa leo Machi 10, 2026, wamejumuika pamoja katika ibada ya kuaga mwili wa Mhariri Mkongwe, Revocatus...
Na mwandishi wetu, Gazetini
WATANZANIA 236 mchana wa Machi 9, 2026 wamerejea nchini kwa ndege maalum ya Air Tanzania Company Limited baada ya kukwama mjini...
LONDON, Uingereza
KWA mujibu wa utafiti wa Taasisi ya Women in Sport kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Leeds Beckett, wanawake waliopo katika taaluma ya...
Na Safina Sarwatt, Gazetini
HOSPITALI ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini ya Kilimanjaro Christian Medical Centre (KCMC) imeanza ujenzi wa Taasisi ya Moyo itakayokuwa ya...
Na mwandishi wetu, Gazetini
NAIBU Waziri wa Nishati, Salome Makamba amesema wananchi wa Mkoa wa Rukwa wataanza kupata umeme wa gridi kuanzia mwezi mei mwaka...
Na Catherine Sungura, Tarura
Hata hivyo, waendesha bodaboda wametakiwa kupunguza mwendo kufuatia kuimarika kwa barabara hizo ili kuepuka ajali zinazoweza kusababisha vifo au majeraha.
Akizungumza na...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Katika kuadhimisha kilele cha Siku ya Wanawake Duniani inayoadhimishwa Machi 8 kila mwaka, Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania...
Na mwandishi wetu, Gazetini
UTAFITI mpya wa Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO) umebaini kuwa wagonjwa wapya wa saratani zaidi ya milioni saba...
Na mwandishi wetu, Gazetini
SIKU chache baada ya kutoka sare ya kutokufungana dhidi ya Simba, Yanga imeibuka na kuitwanga barua nzito Kamati ya Uendeshaji ya...
Na Wakili Baraka Asajile Gwakabale
KIFUNGU cha 196 kinaweka msingi wa kosa la murder. Lakini kifungu cha 203 ndicho kinachoeleza kwa kina uwiano wa sababu...
TEHRAN, Iran
VITA vinavyoendelea kati ya Marekani na Israel zilizoungana kuishambulia Iran vinatajwa kuathiri sekta ya utalii Mashariki mwa Kati.
Kwa mujibu wa Shirika la Utalii...